BibleProject - Kiswahili
BibleProject - Kiswahili
  • 108
  • 120 054
Injili ya Luka Sura ya 3-9
Ya pili katika Mfululizo wa sehemu tano kuhusu Injili ya Luka. Tunamwona Yesu akianzinsha utume wake wa habari njema kwa maskini na jinsi alivyowaleta watu wa aina mbalimbali kuishi pamoja kwa amani.
#BibleProject #Biblia #Luka
Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
Tai Plus
Dar es Salaam, Tanzania
Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
BibleProject Portland, Oregon, USA
มุมมอง: 340

วีดีโอ

Injili ya Luka Sura ya 9-19
มุมมอง 1406 หลายเดือนก่อน
Sehemu ya tatu inaangazia sehemu ya katikati ya Injili ya Luka. Yesu anaendelea na tangazo lake tatanishi la habari njema kwa maskini akiwa kwenye safari ndefu ya kuelekea Yerusalemu, tangazo linalochochea mgogoro na viongozi wa dini. Mgogoro huu unatengeneza mazingira ya kusimulia simulizi maarufu ya Mwana mpotevu. #BibleProject #Biblia #Luka Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utay...
Kuzaliwa kwa Yesu - Injili ya Luka Sura ya 1-2
มุมมอง 1656 หลายเดือนก่อน
Ya kwanza katika Mfululizo wa sehemu tano kuhusu Injili ya Luka. Tunaangazia matukio ya kuvutia kuhusu kuzaliwa kwa Yesu. Hali duni ya familia yake na hadhi yao ya chini katika jamii ya Israeli zinatabiri ufalme wa Yesu ulivyokuwa kinyume na matarajio. #BibleProject #Biblia #Luka Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili Tai Plus Dar es Salaam, Tanzania T...
Agape - Upendo
มุมมอง 3629 หลายเดือนก่อน
Neno “upendo” ni mojawapo ya maneno mazito zaidi katika lugha yetu, kwa kuwa kimsingi hurejelea hisia zinazozaliwa ndani ya mtu. Katika Agano Jipya, “upendo” au "Agape" humaanisha njia ya kuwatendea watu iliyofafanuliwa na Yesu mwenyewe: kutafuta ustawi wa wengine bila kujali wataitika vipi au watakutendeaje wewe. #BibleProject #Biblia #Upendo Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utay...
Chara - Furaha
มุมมอง 19210 หลายเดือนก่อน
Katika video hii, tutazungumzia aina ya kipekee ya furaha ambayo watu wa Mungu wameitwa kuwa nayo. Ni zaidi ya hisia ya furaha, kinyume na hapo ni uamuzi wa kuamini kuwa Mungu atatimiza ahadi zake. #BibleProject #Biblia #Furaha Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili Tai Plus Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake Bibl...
Yakhal - Tumaini
มุมมอง 13310 หลายเดือนก่อน
Katika Biblia watu wenye tumaini ni tofauti sana na watu wenye mtazamo chanya! Katika video hii, tutajadili jinsi tumaini la Biblia linavyoainisha tabia ya Mungu peke yake kama msingi wa kuamini kuwa siku zijazo zitakuwa bora kuliko za sasa. #BibleProject #Biblia #Tumaini Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili Tai Plus Dar es Salaam, Tanzania Toleo la ...
Shalom - Amani
มุมมอง 19910 หลายเดือนก่อน
"Amani" ni neno la kawaida sana katika Kiswahili, linalomaanisha mambo tofauti kwa watu tofauti. Pia ni neno muhimu sana katika Biblia. Neno hili hurejelea hali ya kutokuwepo kwa migogoro. Lakini pia hurejelea uwepo wa kitu kingine. Katika video hii tutachunguza kwa ina maana ya msingi ya amani ya kibiblia, au Shalom na jinsi inavyofungamana na Yesu. #BibleProject #Biblia #Amani Wahusika Katika...
Muhtasari: Marko
มุมมอง 1.2K11 หลายเดือนก่อน
Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Marko, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Marko anaonyesha kwamba Yesu ndiye masihi wa Israeli anayezindua ufalme wa Mungu kupitia mateso yake, kifo chake na kufufuka kwake. #BibleProject #Biblia #Marko Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili Tai Plus Dar es Salaam, Tanz...
Kusoma Biblia Hadharani
มุมมอง 661ปีที่แล้ว
Kusoma Bibilia kwa sauti na kikundi cha watu ni utamaduni ulioanza kale. Na ukweli ni kwamba asili ya Biblia inatokea katika huu utamaduni wa kusoma Biblia hadharani. Ungana pamoja nasi kutafiti asili yake na namna huu utamaduni uliyojengeka, na namna unaweza kuwa msingi wa jinsi tunavyosoma Biblia siku za leo. #BibleProject #Biblia #nameofvideo Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Ut...
Mwaminifu
มุมมอง 398ปีที่แล้ว
Neno emet ni neno la kawaida linalotumika kumwelezea Mungu katika Biblia. Linaweza kutafsiriwa kuwa "uaminifu" au "ukweli." Hivyo waandishi wanaposema kuwa Mungu "amejaa emet," wanamaanisha kuwa Mungu ni wa kweli na ni mwaminifu. Lakini kuamini kwa kawaida sio jambo rahisi. Katika video hii, tunatazama ni kwa nini tunaweza kuamini kuwa Mungu amejawa emet. #BibleProject #Biblia #Mwaminifu Wahusi...
Neema
มุมมอง 428ปีที่แล้ว
Je, inaamisha nini kusema kuwa Mungu wa Biblia ni mwenye neema? Katika video hii, tutayatazama maneno ya Kiebrania yanayomaanisha neema na tuielewe kuwa dhana nzito iliyo na maana kuu katika jinsi tunavyomuona Mungu. Tunapoitazama maana ya kibiblia ya neema na kumuelewa Mungu kuwa mwenye neema, tunamuona Mungu anayependa kutoa zawadi nzuri kwa watu wasiostahili. #BibleProject #Biblia #Neema Wah...
Upendo wa Kuaminika
มุมมอง 311ปีที่แล้ว
Nenola la Kiebrania Khesed ni mojawapo ya maelezo yanayojulikana sana ya Mungu katika Biblia ya Kiebrania na ni vigumu sana kulitafsiri katika lugha nyingine yoyote! Neno hili lina maana nzito, kwani linachanganya dhana za upendo, uaminifu na ukarimu. Ungana nasi tunapochunguza neno hili la Kiebrania linalovutia sana na jinsi linavyotusaidia kuelewa jinsi Mungu alivyo. #BibleProject #Biblia #Up...
Sio mwepesi wa hasira
มุมมอง 391ปีที่แล้ว
Je, inamaanisha nini kusema kuwa Mungu sio mwepesi wa hasira? Katika Biblia, hasira ya Mungu ni jibu la haki kwa uovu wa mwanadamu, linalochochewa na haki na upendo wa Mungu. Katika video hii, tutachunguza hasira na haki ya Mungu katika simulizi ya kibiblia na tuone jinsi zote zinavyomwashiria Yesu. #BibleProject #Biblia #Sio mwepesi wa hasira Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utay...
Huruma
มุมมอง 362ปีที่แล้ว
Huruma ni neno lenye hisia kali linalotumika kuonyesha uhusiano dhabiti kati ya mzazi na mtoto wake. Katika video hii, tunatazama neno hili zito la Kiebrania analotumia Mungu kama neno la kwanza kujieleza mwenyewe katika Kutoka 34:6-7 Mungu ameonyeshwa kama mzazi mwenye huruma katika Maandiko yote- kama mama na baba na huruma yake inaonyeshwa kupitia Yesu. #BibleProject #Biblia #Huruma Wahusika...
Dhabihu na Upatanisho
มุมมอง 421ปีที่แล้ว
Mungu yuko katika harakati za kuondoa uovu katika ulimwengu Wake mwema, pamoja na athari zake zote mbaya. Hata hivyo, anataka kufanya hivi kwa njia ambayo haihusishi kuwaangamiza wanadamu. Katika video hii kuhusu dhabihu na upatanisho, tunafuatilia maudhui ya Mungu "kufunika" uovu wa mwanadamu kupitia dhabihu za wanyama ambazo hatimaye huashiria Yesu na kifo na kufufuka kwake. #BibleProject #Bi...
Ukarimu
มุมมอง 306ปีที่แล้ว
Ukarimu
Njia ya Mateka
มุมมอง 391ปีที่แล้ว
Njia ya Mateka
Haki
มุมมอง 579ปีที่แล้ว
Haki
Masihi
มุมมอง 422ปีที่แล้ว
Masihi
Sheria
มุมมอง 656ปีที่แล้ว
Sheria
Mfano wa Mungu
มุมมอง 421ปีที่แล้ว
Mfano wa Mungu
Roho Mtakatifu
มุมมอง 781ปีที่แล้ว
Roho Mtakatifu
Utakatifu
มุมมอง 709ปีที่แล้ว
Utakatifu
Mbingu na Dunia
มุมมอง 403ปีที่แล้ว
Mbingu na Dunia
Injili ya Ufalme
มุมมอง 387ปีที่แล้ว
Injili ya Ufalme
Siku ya Bwana
มุมมอง 608ปีที่แล้ว
Siku ya Bwana
Maagano
มุมมอง 905ปีที่แล้ว
Maagano
Kitabu cha Ayubu
มุมมอง 1.8Kปีที่แล้ว
Kitabu cha Ayubu
Kitabu cha Mhubiri
มุมมอง 1.4Kปีที่แล้ว
Kitabu cha Mhubiri
Kitabu cha Mithali
มุมมอง 9082 ปีที่แล้ว
Kitabu cha Mithali

ความคิดเห็น

  • @felsonsanga8502
    @felsonsanga8502 วันที่ผ่านมา

    Ameeen

  • @kemmymartine4884
    @kemmymartine4884 6 วันที่ผ่านมา

    Napendaa saana Bible jamanii Umeelezea vizuri mnooo)Mungu akubariki ❤

  • @phmshilokigamboni1643
    @phmshilokigamboni1643 15 วันที่ผ่านมา

    Hakika inapendeza, sasa tunaipata kwa kiswahili

  • @idmtech9868
    @idmtech9868 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki

  • @idmtech9868
    @idmtech9868 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki

  • @idmtech9868
    @idmtech9868 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki

  • @idmtech9868
    @idmtech9868 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki

  • @idmtech9868
    @idmtech9868 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki

  • @idmtech9868
    @idmtech9868 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki

  • @idmtech9868
    @idmtech9868 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki

  • @idmtech9868
    @idmtech9868 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki

  • @idmtech9868
    @idmtech9868 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki

  • @idmtech9868
    @idmtech9868 16 วันที่ผ่านมา

    🎉

  • @idmtech9868
    @idmtech9868 16 วันที่ผ่านมา

    🎉

  • @idmtech9868
    @idmtech9868 16 วันที่ผ่านมา

    🎉

  • @idmtech9868
    @idmtech9868 16 วันที่ผ่านมา

    🎉

  • @CuthbertJohn
    @CuthbertJohn 26 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @pendomwaiteleke1636
    @pendomwaiteleke1636 หลายเดือนก่อน

    ASANTENI SANA NIKISOMA BIBLIA NA NIKIJA KUSIKILIZA HUKU HUWA NAELEWA ZAIDI

  • @user-rb9xj9og7r
    @user-rb9xj9og7r หลายเดือนก่อน

    Ahsante Sana kwa maelezo haya mazuri 🎊

  • @joycemwita2643
    @joycemwita2643 หลายเดือนก่อน

    wooow ❤ Hii ni kazi nzuri sana.

  • @user-uu8bd4vi9s
    @user-uu8bd4vi9s หลายเดือนก่อน

    Asante kwa elimu hii nzuri

  • @user-md4qg8zu9s
    @user-md4qg8zu9s 2 หลายเดือนก่อน

    It was unpossible mission to Paul .

  • @getrudemalisa5414
    @getrudemalisa5414 2 หลายเดือนก่อน

    Mmefanyika sehemu ya baraka sana katika kuelewa agano la kale

  • @veronicankhwazi7954
    @veronicankhwazi7954 2 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏

  • @veronicankhwazi7954
    @veronicankhwazi7954 2 หลายเดือนก่อน

    Woow nimebarikiwa sn

  • @hildakessy1025
    @hildakessy1025 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @YusuphIjengo-md8kf
    @YusuphIjengo-md8kf 2 หลายเดือนก่อน

    Hello

  • @japhetmwashilindi8081
    @japhetmwashilindi8081 2 หลายเดือนก่อน

    💪

  • @user-dx4dq2sp1f
    @user-dx4dq2sp1f 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki mno. Naangalia video hii na nasoma biblia pamoja na wemzangu wa Tanzania

  • @user-kx9yq7ek6p
    @user-kx9yq7ek6p 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana

  • @paulojohn5504
    @paulojohn5504 3 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @KenedyLukuba-ks4cl
    @KenedyLukuba-ks4cl 4 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @Jackline-ki7zl
    @Jackline-ki7zl 4 หลายเดือนก่อน

    Wow ..naelewa vzr hapa .kabla yakuanza kusoma biblia .naanzia hapa kwanza.barikiwa mtumishi wa MUNGU

  • @luislopdor4460
    @luislopdor4460 5 หลายเดือนก่อน

    Hello there, I love your ministry/video. I am a missionary in Tanzania working among unreached tribes. How can I contact your team??. We have some materials in Kiswahili that could be a wonderful tool to strengthen the local churches in order to understand the Bible as one book. It's pretty much like one storyline. I can see the big potential of these resources among the National church in Tanzania. Thanks

  • @stiangabrirl
    @stiangabrirl 5 หลายเดือนก่อน

    Ni elimu kubwa sana hii, ilipaswa nione watu wengi sana kwenye video hii, lakini, Cha kushangaza ni Mimi pekee najiona kwenye uwanja naangalia hivi Sasa inamwaka mmoja na comment inayoonekana ni yangu pekee kwanini...?

  • @dericktz
    @dericktz 6 หลายเดือนก่อน

    KAZI NZURI

  • @user-pj8ho7us8n
    @user-pj8ho7us8n 6 หลายเดือนก่อน

    Good job

  • @petermsemelwa9235
    @petermsemelwa9235 6 หลายเดือนก่อน

    40days & 40 years

  • @petermsemelwa9235
    @petermsemelwa9235 6 หลายเดือนก่อน

    Mnajua🎉

  • @arufanihiza9318
    @arufanihiza9318 6 หลายเดือนก่อน

    16 14

  • @letsloveandshare7487
    @letsloveandshare7487 7 หลายเดือนก่อน

    Thank you bible project...I pray this reaches to more Swahili people 🙏

  • @beproductive839
    @beproductive839 7 หลายเดือนก่อน

    Asanteni sana Mungu awabariki sana

  • @user-jw8nd4qj6n
    @user-jw8nd4qj6n 7 หลายเดือนก่อน

    Ameni imenifungua ufahamu mtu wa Mungu,sikuwahi kuuelewa walaka huu kabisa.

  • @PatrisiaValerian-in1sz
    @PatrisiaValerian-in1sz 7 หลายเดือนก่อน

    Isaya 28 18

  • @clementnsekela2158
    @clementnsekela2158 7 หลายเดือนก่อน

    Asanten sana kwa Kazi nzuri mnayofanya

  • @laineyjohnson7189
    @laineyjohnson7189 8 หลายเดือนก่อน

    These videos have been so helpful for sharing here in Kenya! Nashukuru! 🩵

  • @ezekielmahalu4224
    @ezekielmahalu4224 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kwa ufafanuzi huo nimeipenda Barikiwa

  • @essiey
    @essiey 9 หลายเดือนก่อน

    Wow special thanks from swahili people, may you be blessed mightly you are a hudge blessing in tanzania, and we love you

  • @carolecar5498
    @carolecar5498 9 หลายเดือนก่อน

    Amen AMEN