Dhabihu na Upatanisho

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2022
  • Mungu yuko katika harakati za kuondoa uovu katika ulimwengu Wake mwema, pamoja na athari zake zote mbaya. Hata hivyo, anataka kufanya hivi kwa njia ambayo haihusishi kuwaangamiza wanadamu. Katika video hii kuhusu dhabihu na upatanisho, tunafuatilia maudhui ya Mungu "kufunika" uovu wa mwanadamu kupitia dhabihu za wanyama ambazo hatimaye huashiria Yesu na kifo na kufufuka kwake.
    #BibleProject #Biblia #DhabihunaUpatanisho
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น •