Muhtasari: Marko

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ค. 2023
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Marko, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Marko anaonyesha kwamba Yesu ndiye masihi wa Israeli anayezindua ufalme wa Mungu kupitia mateso yake, kifo chake na kufufuka kwake.
    #BibleProject #Biblia #Marko
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 2

  • @JosephYusto
    @JosephYusto 11 หลายเดือนก่อน +2

    Amen, kazi nzuri sana.

  • @paulojohn5504
    @paulojohn5504 3 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi