Agape - Upendo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ก.ย. 2023
  • Neno “upendo” ni mojawapo ya maneno mazito zaidi katika lugha yetu, kwa kuwa kimsingi hurejelea hisia zinazozaliwa ndani ya mtu. Katika Agano Jipya, “upendo” au "Agape" humaanisha njia ya kuwatendea watu iliyofafanuliwa na Yesu mwenyewe: kutafuta ustawi wa wengine bila kujali wataitika vipi au watakutendeaje wewe.
    #BibleProject #Biblia #Upendo
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 1

  • @laineyjohnson7189
    @laineyjohnson7189 9 หลายเดือนก่อน +2

    These videos have been so helpful for sharing here in Kenya! Nashukuru! 🩵