Yakhal - Tumaini

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ส.ค. 2023
  • Katika Biblia watu wenye tumaini ni tofauti sana na watu wenye mtazamo chanya! Katika video hii, tutajadili jinsi tumaini la Biblia linavyoainisha tabia ya Mungu peke yake kama msingi wa kuamini kuwa siku zijazo zitakuwa bora kuliko za sasa.
    #BibleProject #Biblia #Tumaini
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น •