Neema

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Je, inaamisha nini kusema kuwa Mungu wa Biblia ni mwenye neema? Katika video hii, tutayatazama maneno ya Kiebrania yanayomaanisha neema na tuielewe kuwa dhana nzito iliyo na maana kuu katika jinsi tunavyomuona Mungu. Tunapoitazama maana ya kibiblia ya neema na kumuelewa Mungu kuwa mwenye neema, tunamuona Mungu anayependa kutoa zawadi nzuri kwa watu wasiostahili.
    #BibleProject #Biblia #Neema
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 2