Injili ya Ufalme

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ส.ค. 2022
  • Katika video hii, tunafuatilia asili ya neno "injili" na jinsi linavyohusisha simulizi ya Agano la Kale pamoja na simulizi ya Yesu na mahubiri yake ya ufalme wa Mungu. Yesu alileta sheria na utawala wa Mungu ulimwenguni kwa njia isiyotarajiwa, na alicholeta ndicho cha muhimu zaidi kwa wanadamu.
    #BibleProject #Biblia #Injili ya Ufalme
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น •