Sio mwepesi wa hasira

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Je, inamaanisha nini kusema kuwa Mungu sio mwepesi wa hasira? Katika Biblia, hasira ya Mungu ni jibu la haki kwa uovu wa mwanadamu, linalochochewa na haki na upendo wa Mungu. Katika video hii, tutachunguza hasira na haki ya Mungu katika simulizi ya kibiblia na tuone jinsi zote zinavyomwashiria Yesu.
    #BibleProject #Biblia #Sio mwepesi wa hasira
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น •