Ukarimu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2022
  • Katika simulizi ya Biblia, Mungu ameonyeshwa kuwa mwenyeji mkarimu anayetimiza mahitaji ya wageni wake. Hata hivyo, wanadamu wamejawa na huishi kwa fikra za upungufu na njaa na hawapendi kushiriki na wengine walichobarikiwa na Mungu. Katika video hii kuhusu ukarimu, tunachunguza mpango wa Mungu wa kuushinda ubinafsi kwa kujitoa kama zawadi kuu kupitia kwa Yesu.
    #BibleProject #Biblia #Ukarimu
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น •