Upendo wa Kuaminika

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 พ.ย. 2022
  • Nenola la Kiebrania Khesed ni mojawapo ya maelezo yanayojulikana sana ya Mungu katika Biblia ya Kiebrania na ni vigumu sana kulitafsiri katika lugha nyingine yoyote! Neno hili lina maana nzito, kwani linachanganya dhana za upendo, uaminifu na ukarimu. Ungana nasi tunapochunguza neno hili la Kiebrania linalovutia sana na jinsi linavyotusaidia kuelewa jinsi Mungu alivyo.
    #BibleProject #Biblia #Upendo wa Kuaminika
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น •