Kitabu cha Mithali

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ค. 2022
  • Mithali ni mkusanyiko wa hekima kutoka kwa vizazi vingin vya watu wenye maarifa ya kiungu. Inahimiza tuwe watu wenye maadili na "kumcha Mungu," ili tuweze kuishi maisha mazuri. Mithali ni mojawapo ya vitabu vitatu vinavyochunguza maudhui haya ya hekima ya kibiblia.
    #BibleProject #Biblia #Mithali
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 1