Injili ya Luka Sura ya 9-19

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2023
  • Sehemu ya tatu inaangazia sehemu ya katikati ya Injili ya Luka. Yesu anaendelea na tangazo lake tatanishi la habari njema kwa maskini akiwa kwenye safari ndefu ya kuelekea Yerusalemu, tangazo linalochochea mgogoro na viongozi wa dini. Mgogoro huu unatengeneza mazingira ya kusimulia simulizi maarufu ya Mwana mpotevu.
    #BibleProject #Biblia #Luka
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น •