Siku ya Bwana

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ส.ค. 2022
  • Je, Mungu anajali kuhusu maovu yote ambayo wanadamu hutenda ulimwenguni na ikiwa ndiyo, anafanya nini kuhusu jambo hilo? Katika video hii kuhusu Siku ya Bwana, tunafuatilia njia tofauti ambavyo Mungu hukabiliana na uovu wa wanadamu na uovu wa ndani zaidi wa kiroho ambao ndio kiini cha maovu. Hatimaye, tunaona jinsi Yesu anatimiza mfuatano wa simulizi hii na kushinda uovu kwa kuuruhusu umshinde.
    #BibleProject #Biblia #SikuYaBwana
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 2