Kitabu cha Ayubu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ค. 2022
  • Je, unamwaminije Mungu hata wakati maisha yako sio mazuri na unateseka bila sababu? Simulizi ya Ayubu inatualika kuzingatia hoja kuwa Mungu anauendesha ulimwengu kwa hekima na jinsi ukweli huu unaweza kuleta amani katika nyakati za giza. Ayubu ni kitabu cha mwisho cha vitabu vitatu vinavyochunguza maudhui haya ya hekima ya kibiblia.
    #BibleProject #Biblia #Ayubu
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น •