Kusoma Biblia Hadharani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ธ.ค. 2022
  • Kusoma Bibilia kwa sauti na kikundi cha watu ni utamaduni ulioanza kale. Na ukweli ni kwamba asili ya Biblia inatokea katika huu utamaduni wa kusoma Biblia hadharani. Ungana pamoja nasi kutafiti asili yake na namna huu utamaduni uliyojengeka, na namna unaweza kuwa msingi wa jinsi tunavyosoma Biblia siku za leo.
    #BibleProject #Biblia #nameofvideo
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 3