Roho Mtakatifu
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ค. 2024
- Katika video hii, tunachunguza maana asili ya dhana ya kibiblia ya "roho" na inavyomaanisha kuwa Roho wa Mungu yupo katika vyote vilivyoumbwa. Hatimaye, Roho Mtakatifu alidhihirishwa kupitia Yesu na kuachiliwa katika maisha ya wafuasi ili kufanya mambo kuwa mapya.
#BibleProject #Biblia #RohoMtakatifu
Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
Tai Plus
Dar es Salaam, Tanzania
Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
BibleProject Portland, Oregon, USA