Haki

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2022
  • "Haki" ni hitaji lililo katika ulimwengu wetu wa leo na ni mada yenye utata. Lakini, haki ni nini, na ni nani mwenye mamlaka ya kuifafanua? Katika video hii, tutachunguza maudhui ya kibiblia ya haki na kutambua jinsi ina mizizi katika simulizi ya Biblia inayoelekezwa kwa Yesu.
    #BibleProject #Biblia #Haki
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 1