Sheria

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2022
  • Katika video hii, tunachunguza umuhimu wa sheria za kale katika Agano la Kale. Je, ni kwa nini ziko katika Biblia na zina ujumbe gani kwa wafuasi wa Yesu? Tunachunguza jinsi walivyotimiza nia ya kimkakati katika awamu moja muhimu ya simulizi ya kibiblia, ikielekeza kwa Yesu aliyetimiza sheria na kuifupisha katika mwito wa kumpenda Mungu na kumpenda jirani yako kama unavyojipenda.
    #BibleProject #Biblia #Sheria
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 2

  • @markomosses8739
    @markomosses8739 ปีที่แล้ว

    MUNGU AWABARIKI SANA WAPENDWA NIMEBARIKIWA SANA NAMASOMOHAYA SASAIVI NISAASABA USIKU NAKESHA NASIKILIZA MASOMOHAYA

  • @dianawebala9381
    @dianawebala9381 ปีที่แล้ว

    Masomo mazuri sana. Barikiweni