Njia ya Mateka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Ikiwa wafuasi wa Yesu watautumikia kikamilifu Ufalme wa Mungu, je, uhusiano wao na serikali na mamlaka tawala unapaswa kuwa vipi? Katika video hii tutatazama hekima ya kushughulikia tashwishi hii kupitia simulizi ya Danieli na marafiki wake katika utumwa huko Babiloni Kumfuata Yesu katika karne ya 21 inamaanisha kujifunza njia ya mateka.
    #BibleProject #Biblia #NjiaYaMateka
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น •