Mbingu na Dunia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ส.ค. 2022
  • Je, Biblia inafundisha nini haswa kuhusu mbingu, na je, upo uhusiano upi kati ya mbingu na dunia? Katika video hii, tunachunguza mtazamo unaoshangaza wa kibiblia kuwa mbingu na dunia zilipaswa kuingiliana, na kuona jinsi Yesu alivyo katika mchakato wa kuzileta pamoja milele.
    #BibleProject #Biblia #Mbingu na Dunia
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น •