Shalom - Amani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2023
  • "Amani" ni neno la kawaida sana katika Kiswahili, linalomaanisha mambo tofauti kwa watu tofauti. Pia ni neno muhimu sana katika Biblia. Neno hili hurejelea hali ya kutokuwepo kwa migogoro. Lakini pia hurejelea uwepo wa kitu kingine. Katika video hii tutachunguza kwa ina maana ya msingi ya amani ya kibiblia, au Shalom na jinsi inavyofungamana na Yesu.
    #BibleProject #Biblia #Amani
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น •