Maagano

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ค. 2022
  • Njia kuu ya Biblia ya kuzungumza kuhusu uhusiano wa Mungu na wanadamu ni kwa kutumia sura ya ushirikiano. Video hii kuhusu maagano inafuatilia jinsi ambavyo Mungu alifanya mahusiano na maagano na wanadamu ili kuokoa ulimwengu kupitia Yesu, mshiriki wa mwisho wa agano.
    #BibleProject #Biblia #Maagano
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 1

  • @dericktz
    @dericktz 6 หลายเดือนก่อน

    KAZI NZURI