Mwaminifu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ย. 2022
  • Neno emet ni neno la kawaida linalotumika kumwelezea Mungu katika Biblia. Linaweza kutafsiriwa kuwa "uaminifu" au "ukweli." Hivyo waandishi wanaposema kuwa Mungu "amejaa emet," wanamaanisha kuwa Mungu ni wa kweli na ni mwaminifu. Lakini kuamini kwa kawaida sio jambo rahisi. Katika video hii, tunatazama ni kwa nini tunaweza kuamini kuwa Mungu amejawa emet.
    #BibleProject #Biblia #Mwaminifu
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 1