Huruma

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2022
  • Huruma ni neno lenye hisia kali linalotumika kuonyesha uhusiano dhabiti kati ya mzazi na mtoto wake. Katika video hii, tunatazama neno hili zito la Kiebrania analotumia Mungu kama neno la kwanza kujieleza mwenyewe katika Kutoka 34:6-7 Mungu ameonyeshwa kama mzazi mwenye huruma katika Maandiko yote- kama mama na baba na huruma yake inaonyeshwa kupitia Yesu.
    #BibleProject #Biblia #Huruma
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 1

  • @letsloveandshare7487
    @letsloveandshare7487 7 หลายเดือนก่อน

    Thank you bible project...I pray this reaches to more Swahili people 🙏