Mfano wa Mungu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2022
  • Video hii kuhusu Mfano wa Mungu inaangazia dhana ya wanadamu kama watawala pamoja na Mungu, waliotumwa kuukuza ulimwengu na rasilimali zake na kuupeleka katika upeo mpya. Je, wito huu umeathiriwa na ubinafsi na uovu kwa namna ipi, na Yesu amefungua vipi njia mpya ya kuwa binadamu kupitia maisha yake, kufa na kufufuka kwake?
    #BibleProject #Biblia #MfanoWaMungu
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 1

  • @henry11781
    @henry11781 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki, lakini nilikua na ushauri pale panapotakiwa kuweka maandiko weka Kwa reference zaidi. 🙏🙏