Masihi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.ย. 2022
  • Katika video hii kuhusu Masihi, tunachunguza ahadi ya ajabu kwenye ukurasa wa tatu wa Biblia, kuwa mkombozi aliyeahidiwa angekuja siku moja kukabiliana na uovu na kuwaokoa wanadamu. Tunafuatilia maudhui haya kupitia familia ya Abrahamu, ukoo wa Kimasihi wa Daudi na hatimaye Yesu aliyeushinda uovu kwa kuuruhusu kumshinda.
    #BibleProject #Biblia #Masihi
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น • 1