- 405
- 4 889 624
Official Dating Assistance
เข้าร่วมเมื่อ 9 พ.ย. 2022
Hello everyone,
My name is Shena, a dating assistance and life coach.
Date with intent so that the next serious relationship you enter into will be with someone who has real potential.
Online dating is the best as it is the way used by modern society. In Online Dating you can get a chance to meet with plenty of people by matching with them and making conversation (create a standout dating profile and you can learn from my classes)
You prefer meeting people in real life (figure out where all the quality singles are and know exactly what to say). You will get a chance to learn more in our training provided.
DISCLAIMER
I do interview with other people so they can share their experiences and we don’t advertise business from anyone and we are not collaborating in business of the people I interviewed
Copyright @officialdatingassistance 2022-2024. Any illegal reproduction of this content will result in immediate legal action
www.oda.international
+4367764790884

MTAZAMO WANGU KUHUSU KULINDA AFYA YA AKILI | MAZUNGUMZO YA INSTAGRAM NA DIDA SHAM
MTAZAMO WANGU KUHUSU KULINDA AFYA YA AKILI | MAZUNGUMZO YA INSTAGRAM NA DIDA SHAM
มุมมอง: 3 569
วีดีโอ
NAMNA YA KUSITISHA MALIPO MTANDAONI ILI USIENDELEE KUKATWA PESA
มุมมอง 8945 หลายเดือนก่อน
NAMNA YA KUSITISHA MALIPO MTANDAONI ILI USIENDELEE KUKATWA PESA
NILIPATA MZUNGU MTESAJI| MTANZANIA MWENZANGU ALINIPITISHA KWENYE MTIHANI|WAAFRIKA WENZETU HAWATUTAKI
มุมมอง 10K5 หลายเดือนก่อน
NILIPATA MZUNGU MTESAJI| MTANZANIA MWENZANGU ALINIPITISHA KWENYE MTIHANI|WAAFRIKA WENZETU HAWATUTAKI
WALIKUTANA MTANDAONI KUMBE ANASHIDA YA AFYA YA AKILI
มุมมอง 20K6 หลายเดือนก่อน
WALIKUTANA MTANDAONI KUMBE ANASHIDA YA AFYA YA AKILI
MAISHA YA NDOA YALIVYOBADILIKA NA KUA MAUAJI
มุมมอง 8K6 หลายเดือนก่อน
MAISHA YA NDOA YALIVYOBADILIKA NA KUA MAUAJI
UTAPELI WA KUTAFUTIWA KAZI ULAYA NA KWENDA ULAYA KIMASOMO
มุมมอง 3.1K6 หลายเดือนก่อน
UTAPELI WA KUTAFUTIWA KAZI ULAYA NA KWENDA ULAYA KIMASOMO
JE UNAPENDA KUVAA ORIGINAL BRAND LAKINI UNAONA NI GHRAMA KUBWA ? UNAWEZA KUPATA KWA BEI YA NAFUU
มุมมอง 1.4K7 หลายเดือนก่อน
JE UNAPENDA KUVAA ORIGINAL BRAND LAKINI UNAONA NI GHRAMA KUBWA ? UNAWEZA KUPATA KWA BEI YA NAFUU
NILIKUTANA NA MZUNGU ANALALA NA KUKU | NILIKUA NAVUMILIA KISA TU NIPATE PESA NA NIFIKE ULAYA
มุมมอง 51K8 หลายเดือนก่อน
NILIKUTANA NA MZUNGU ANALALA NA KUKU | NILIKUA NAVUMILIA KISA TU NIPATE PESA NA NIFIKE ULAYA
KAZI ZA HUKU ZINATUMIZA MIGONGO NA MIGUU | UKILETWA NA MZUNGU HAKIKISHA UNAFANYA KAZI USINYANYASIKE
มุมมอง 20K8 หลายเดือนก่อน
KAZI ZA HUKU ZINATUMIZA MIGONGO NA MIGUU | UKILETWA NA MZUNGU HAKIKISHA UNAFANYA KAZI USINYANYASIKE
MITANDAO YA KIMAHUSIANO ITAYOKUPATIA MATOKEO MAZURI
มุมมอง 4.5K8 หลายเดือนก่อน
MITANDAO YA KIMAHUSIANO ITAYOKUPATIA MATOKEO MAZURI
FAHAMU MAKOSA HAYA YANAYOFANYWA NA WANAWAKE KWENYE ONLINE DATING WANAPOTAFUTA MAHUSIANO YENYE TIJA
มุมมอง 1.7K8 หลายเดือนก่อน
FAHAMU MAKOSA HAYA YANAYOFANYWA NA WANAWAKE KWENYE ONLINE DATING WANAPOTAFUTA MAHUSIANO YENYE TIJA
KAPATA UJAUZITO WA KAKA WA MUME WAKE NA MUME NAE KUMBE NI MUME WA MTU MWINGINE
มุมมอง 3.2K8 หลายเดือนก่อน
KAPATA UJAUZITO WA KAKA WA MUME WAKE NA MUME NAE KUMBE NI MUME WA MTU MWINGINE
WIZI MPYA WA VIDEO CALL WA KUTUMIA TEKNOLOJIA
มุมมอง 2.8K8 หลายเดือนก่อน
WIZI MPYA WA VIDEO CALL WA KUTUMIA TEKNOLOJIA
KAZI ZA MASHAMBANI MAREKANI | MAZUNGUMZO YA INSTAGRAM NA BLACK SINGAPORE
มุมมอง 11K9 หลายเดือนก่อน
KAZI ZA MASHAMBANI MAREKANI | MAZUNGUMZO YA INSTAGRAM NA BLACK SINGAPORE
ATHARI YA TOHARA NA MAHARI KWENYE MAHUSIANO NA WAZUNGU
มุมมอง 3K10 หลายเดือนก่อน
ATHARI YA TOHARA NA MAHARI KWENYE MAHUSIANO NA WAZUNGU
KUA TAYARI KUJIFUNZA KUPITIA HADITHI ZA WENGINE
มุมมอง 1K10 หลายเดือนก่อน
KUA TAYARI KUJIFUNZA KUPITIA HADITHI ZA WENGINE
SACRIFICE AMBAYO MZUNGU NA WEWE MNAIFANYA KWAAJILI YA PENZI | SEXUAL FANTANSIES |Questions & Answers
มุมมอง 4.3K10 หลายเดือนก่อน
SACRIFICE AMBAYO MZUNGU NA WEWE MNAIFANYA KWAAJILI YA PENZI | SEXUAL FANTANSIES |Questions & Answers
KUA NA PASSPORT SIO KIGEZO CHA KUPATA KAZI ULAYA|SIO KILA DIASPORA ANAMCHONGO MAJUU|Questions&Anwers
มุมมอง 2.3K10 หลายเดือนก่อน
KUA NA PASSPORT SIO KIGEZO CHA KUPATA KAZI ULAYA|SIO KILA DIASPORA ANAMCHONGO MAJUU|Questions&Anwers
SHEREHE ZA KRAMPUS NA KUWAADHIBU WATOTO WATUKUTU
มุมมอง 978ปีที่แล้ว
SHEREHE ZA KRAMPUS NA KUWAADHIBU WATOTO WATUKUTU
NIMEPOTEA ULAYA NIKATOKEZEA KIJIJINI | ANAISHI KIJIJINI NAOGOPA KUCHINJWA
มุมมอง 10Kปีที่แล้ว
NIMEPOTEA ULAYA NIKATOKEZEA KIJIJINI | ANAISHI KIJIJINI NAOGOPA KUCHINJWA
USIKARIBISHE WATU KWENYE NDOA YAKO WENGI NI WEZI WA WAUME | NILIKIMBILIA KUSOMA BAADA YA KUFIKA
มุมมอง 8Kปีที่แล้ว
USIKARIBISHE WATU KWENYE NDOA YAKO WENGI NI WEZI WA WAUME | NILIKIMBILIA KUSOMA BAADA YA KUFIKA
MAHUSIANO MENGI YANACHANGAMOTO KUBWA YA TENDO
มุมมอง 4.1Kปีที่แล้ว
MAHUSIANO MENGI YANACHANGAMOTO KUBWA YA TENDO
NIMEWASILIANA NAE MWAKA KUMBE NI MUME WA MTU | RAFIKI ALIKUA ANAMNYEMELEA MCHUMBA WANGU
มุมมอง 9Kปีที่แล้ว
NIMEWASILIANA NAE MWAKA KUMBE NI MUME WA MTU | RAFIKI ALIKUA ANAMNYEMELEA MCHUMBA WANGU
UNAWEZA KUKOPA BANK KUPITIA JINA LA MWENZA WAKO | TALAKA INATOKA BAADA YA MIAKA 2 | PRENUP NA NDOA
มุมมอง 1.2Kปีที่แล้ว
UNAWEZA KUKOPA BANK KUPITIA JINA LA MWENZA WAKO | TALAKA INATOKA BAADA YA MIAKA 2 | PRENUP NA NDOA
WE MET ONLINE AND ARRANGE OUR MARRIAGE BEFORE SEEING EACH OTHER
มุมมอง 4.2Kปีที่แล้ว
WE MET ONLINE AND ARRANGE OUR MARRIAGE BEFORE SEEING EACH OTHER
BADO NAJIFUNZA KISWAHILI | ONLINE DATING INASAIDIA
มุมมอง 2.5Kปีที่แล้ว
BADO NAJIFUNZA KISWAHILI | ONLINE DATING INASAIDIA
Kama unaukimwi unaweza kusafiri canada
Shukrani sana dada Kwa mafundisho mazuri
Tunajuwa unajuaa ngeli ila ongea kiswahili
Ongea kiswahili cyo unachangaya
nashukuru kwa hili darasa thanks shena dada jacque najiona kukutafuta in the future
Maashallah mashallah mashallah hongera sana Allah akuongoze mwengine hapo angevua ushungi kisa mzungu
Itakua yuko chechenia
Ameir nimekubali wewe ni hustle wa nguvu ukija nampula karibu sana
Pole ddngu ila nimecheka yani umefika hapo kwa wezi😅
Hapo umeganda au baridi kali😂
Quarantine 😅
Hatari ulaya ila sikati tamaa never
Ulijiunga site gani
Amesena muslima
Nami nataka mwanamke wa kizungu
Mashallah Hawa.oma
Huyu dada ningemshauri kitu kimoja,angeandika kitabu kuhusu namna ya kuishi mbali na jamii zetu,nadhani atauza sana kulingana na experience aliopitia kwenye maisha,ila hichi cha walimu nahisi ni walimu pekee ndo watakinunua zaidi lakini cha maisha ya kawaida kila mtu atatamani kukisoma
Wamezoea kukaa ndani,kwahiyo hawajazoea kukutana na watu wengine,ila wewe dada kweli wewe ni hatari sana,yani umeweza kuishi mbali afu mazingira magumu duh nimekupigia saluti kweli.
❤❤
Chausiku unaenda kuolewa ww😂😂
Kiswahili kama ww ni mtanzania
Ww bint umenichekesha mbavu sina
Duh, ila da shena kupata mwenza kwenye dating app ni ngumu sana yaani ni kama wengi wana mental issues, yaani mtu mnachati vizuri anakuomba namba unampa, anakuomba picha yako unampa ,baada ya kumpa picha unaona hakusemeshi tena na wakati alikuwa anakusifiya😂😂😂 ivi kuna yoyote hii hali ilishampata?
Yaani ndio hali ilivyo 😂😂
Nataka nb yako pls
MashaAllah nakutakia kila la heri ddngu wenzako wengi hiishi mbali na dini yao ila wewe mungu akujalie uniambie dini yako
Story nzuri sana,
Story nzuri sana,
Da shena unafanyika Baraka sana kwa watu sijui kama unaelewa jamani❤
❣️❣️❣️🌹
😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
Alhamdulillah Rabbil Alamiina SOO good MashaAllah
❤❤❤❤❤ Mungu akujalie ujifungue salama. Cant wait ❤
Mimi ndoto zangu zinaferi kweli
Manshallah
Acheni umalaya mamaezenu
Bangi hazikufai bint!
😂😂😁
Russians are jews
Mamdogo apewe maua yake❤
MashaAllah Hawa 🤲
Kuna wakati hua nataka kukataa tamaa lakini kila nikiangalia video zako da shena hua nasimama upya
Umenikumbusha siku niko na safiri kuelekeya Nairobi nafika Tanzania mwaza pajitokeza mutu akajifanya musamaliya mwema kumbe ni tapeli akaniibiya simu na passport na hela kiasi nimeliya kwakweli na police wa tanzania wakanishika nionyeshe kibali nikafugwa sehemu mbaya uchafu cho kinauchafu hmna chakula na mimi ukumbuke nyumbani kwetu ni Burundi
Mashallah🎉
Ila wew saizi umepata mume uko Germany 🇩🇪
Account yako TH-cam inaitwaje
Rustam Aibazov nimesikia hivyo
Na wazungu hawaogi ,,kama mwarabu hapendi uonge kila siku hapendi kabisa wanajipaka marashi
Nakumbuka siku nimefungwa,,saudia arabia miezi 3 jela ya saudia marazi nimeona uko wa Africa wamekuwa machizi sababu ya stress 😢
Hawa yuko soo sweet Mashallah . Hongera kwa Ndoa
Mbona hujaweka account yake ya TH-cam tumtizame na yeye
Nimesikia jina Rustam Aibazov
Ingerikuwa warabu hageharibu visa yako na passport au njo warabu wa kwafarao
Huyu dada nimempenda,kiswahili cha nyumbani na amefunguka kila kitu
Dada Asante sana ,
Asante sana shukrani dada Jacquelyn