Inauma saana.kuliko kuuwa ni bora kuwaacha hapo na kuondoka.kitu ambacho huwezi kumrudishia mtu hupaswi kukichukua.uhai aliotupa Mungu Acha yy mwenyewe auchukue kwa wakat wake.
Kuna umuhimu sana wa kua na rafiki wa kuaminika maishani, hususani sisi tunaoishi ughaibuni, tunajitenga na kutengana sana, ni vizuri kua na mtu unaeweza kumuamini na kumshirikisha kwenye masuala nyeti kama hivi.
Asante Shena kwa kushea hii habari. Ni huzuni, inasikitisha na ni hasara kubwa isiyofahamika. Binaadam hatuko sawa kimtazamo, kifikra na kimapenzi. Uzaniae ndie kumbe sie lakini, kuonana, kukutana na hadi kupendana kwenye mtandao sio tatizo kwasababu wapo watu wengi wanaonufaika, walionufaika na itaendelea kuwa ni sehemu nzuri na ya haraka kuonana na mtu au mchumba mtarajiwa. Udhaifu upo baina ya watu lakini ni wachache sana na tukio hili ni ushahidi wa uchache huo. Kwa bahati nzuri au mbaya huwezi kumjua mtu mzuri au mbaya mpaka mkutane kwa aidha siku kadhaa pengine muishi pamoja na ndio maana, Wazungu wengi ili waishi nawe watakujaribu kwa miezi au hata miaka kabla hajakuamini. Msiba lakini ni vigumu kumjua mtu undani wake
These stories is our daily bread here! Especially after social media! If you look deeply us human beings we are born in natural have our egos out of control! If you ask your God to lead you through control your egos! You will smell a lot of situation before get out of control!
Hatari na nusu huku ulaya ni nomaaaa aiseee Mungu atusaidie yaanimumewake anaongea Kama hajui kitu ndio zao hizo usipokuwa makini na wazungu ndio hivyo wanakusukumizia matatizo rip to her
@@vanessalaizer4363 waarabu wengi wanatesa na kutuma tuma tuma sana wafanyakazi ila kuua mtu huwaga hawana hao sana sana wanajilipuaga wenyewe na mabomu ila wazungu ni makatili kila staili zote za vifo wamebuni na kufanya wao
Nilichojifunza kulazikisha kitu kuna muda unaona ishara zote mume or mwanaume hakutaki bac amrkushoka bado upo tu ukiulizwa watoto kuna mapenzi makosa yanasameheka ata akicheat lakin unajua anajutia huyu apo kiksamehe ipo ila mtu anakunyanyasa kukudharau kwakua ana hela upo 😢ndo inakukost ushaur wanawake naona kisa mkeiona isho talaka imeekwa kwa maana so kama mungu hajui kwanin kaiyeka tujifunze na unaanzaje kumpenda mtu hakupend😢tena we huna kinaa🙌
Hicho Kisa Shena kinahuzunishaaa , Bora angeikimbia familia kuliko kuwauwa na watoto waliokuwa hawana hatia ya hayo mahusiano plus kichanga kilichokuwa Tumboniii
😂😂😂 hivi na yeye alisalimika kweli na kifungo yule dada yani tunatakiwa kuwa na subra sana na mitandao hii watu wanaishi maisha ya kuigiza watazamaj tunaona kama reality kumbe maigizo
Jamaa anadai haamini kama mke na watoto hawapo nyumbani! Eti anawataka warudi!! Halafu taarifa polisi imetolewa na rafiki/jirani. Damu aliyoisaliti itamtesa sana. Story ya kusikitisha mno 😢
Halafu utasikia dada zetu wavivu wakiafrica wanasema wazungu wanajua kutunza wake zao kuliko wanaume wakiafrica, sijui wanaangalia kwenye muvi au vipi maana nahuku wapo wahuni kuliko hata uhuni wenyewe
sad story, tunachoweza kujifunza nikwamba tujifunze kuona dalili mbaya za mwanzo na kufanya maamuzi kabla mambo hayajakuwa makubwa,tuache mambo ya kuvumilia kwenye ndoa bila sababu za msingi, tuishi kwa haki na upendo,sasa huyo kama ameweza kuuwa mke wake atashindwa vip kuuwa hata ndugu zake, he is like Animal,tujiepushe na hasira za binadamu. yaani nimeumia mnoo hasa kwa watoto.
Mwamini tu mungu wapo wame wema na waovu pia ila mume mwema utamjua kwa matendo na muovu pia Kuna siku uongo ma ukweli hujitenga kuhusu mume mwema na mkweli hivyo omba mungu mume mwema yupo
Moyo wa mtu hakika ni kichaka. Asante shena kwa ushauri mzuri. Mm inafikia hatua binadamu nawaogopa kabisa. Sijuh tumekuwaje yaani mtu anaweza badirika kama anaingiliwa na mapepo halafu akishafanya tukio ni kama pepo linakaa pembembeni kumtazama. Duniani kweli kuna mengi ya ajabu na kusikitisha sana. Nimejifunza mapenzi yakiisha bora kukubali tuu na kutolazimisha yaendelee maana kulazimisha kunakuja na pande mbili. Duh! Huyo baba hawezi pata raha au furaha duniani mpk anakufa manake damu za watoto na mke zitamlilia kila akijaribu hata kufumba macho yake. Sijuh dunia inatupeleleka wapi.
Mwanamme alikua mbaya sana kwakweli 😢 angemuacha tu ili aishi maisha yake 💔 hope kina dada mmejifunza kwamba si kila king'aacho ni dhahabu.
Inauma saana.kuliko kuuwa ni bora kuwaacha hapo na kuondoka.kitu ambacho huwezi kumrudishia mtu hupaswi kukichukua.uhai aliotupa Mungu Acha yy mwenyewe auchukue kwa wakat wake.
Niliona hii story inasikitisha sana na nilijifunza kuwa usiwahi amini mtu yoyote i mean yoyote very sad story 😔
Kuna umuhimu sana wa kua na rafiki wa kuaminika maishani, hususani sisi tunaoishi ughaibuni, tunajitenga na kutengana sana, ni vizuri kua na mtu unaeweza kumuamini na kumshirikisha kwenye masuala nyeti kama hivi.
Asante Shena kwa kushea hii habari. Ni huzuni, inasikitisha na ni hasara kubwa isiyofahamika. Binaadam hatuko sawa kimtazamo, kifikra na kimapenzi. Uzaniae ndie kumbe sie lakini, kuonana, kukutana na hadi kupendana kwenye mtandao sio tatizo kwasababu wapo watu wengi wanaonufaika, walionufaika na itaendelea kuwa ni sehemu nzuri na ya haraka kuonana na mtu au mchumba mtarajiwa. Udhaifu upo baina ya watu lakini ni wachache sana na tukio hili ni ushahidi wa uchache huo. Kwa bahati nzuri au mbaya huwezi kumjua mtu mzuri au mbaya mpaka mkutane kwa aidha siku kadhaa pengine muishi pamoja na ndio maana, Wazungu wengi ili waishi nawe watakujaribu kwa miezi au hata miaka kabla hajakuamini. Msiba lakini ni vigumu kumjua mtu undani wake
Ni kweli ni ngumu sana
Ni kuomba Mungu sana tu.. Huyo dada ameishi na mume wake more that 8years na mwisho akafanya hayo
Ni mtihani mkubwa sana
Tusilazimishe mapenzi.
Very sad story😭, Shena Ubarikiwe sn Kwa Elimu unazotoa Kwa Ndugu zako🙏
Dah😢 Mungu atuokoe kwakwel
These stories is our daily bread here! Especially after social media! If you look deeply us human beings we are born in natural have our egos out of control! If you ask your God to lead you through control your egos! You will smell a lot of situation before get out of control!
Mungu atupe muongozo 🙏
Hatari na nusu huku ulaya ni nomaaaa aiseee Mungu atusaidie yaanimumewake anaongea Kama hajui kitu ndio zao hizo usipokuwa makini na wazungu ndio hivyo wanakusukumizia matatizo rip to her
Mtihani sana
Ogopa sana wazungu!
Sio watu
Waarabu je?
@@vanessalaizer4363 waarabu wengi wanatesa na kutuma tuma tuma sana wafanyakazi ila kuua mtu huwaga hawana hao sana sana wanajilipuaga wenyewe na mabomu ila wazungu ni makatili kila staili zote za vifo wamebuni na kufanya wao
@@vanessalaizer4363 mwaraabu kheri alipue nchi nzima kuliko uguse familia yake 😂😂😂 wale noma
😢😢😢😢Jana tu wamezika Moshi mke ameuwa mumewee mhhhh maisha ya sasa na ndoa jmn ombeni sana Mungu mm nipo single natafuta tu pesa Mungu anisaidie
Inasikitisha sana jamani
🤣🤣🤣 eti upo single huyo kija mdogo mdogo 🤣🤣 mnaambiana tupunguzane tu kiu ndiyo atakuchinjaaaaa🤣🤣🤣
Kumuacha asiyekupenda aende hili ni tendo la upendo wenye D 2 wataelewa hii code
Very sad 😔
Nilichojifunza kulazikisha kitu kuna muda unaona ishara zote mume or mwanaume hakutaki bac amrkushoka bado upo tu ukiulizwa watoto kuna mapenzi makosa yanasameheka ata akicheat lakin unajua anajutia huyu apo kiksamehe ipo ila mtu anakunyanyasa kukudharau kwakua ana hela upo 😢ndo inakukost ushaur wanawake naona kisa mkeiona isho talaka imeekwa kwa maana so kama mungu hajui kwanin kaiyeka tujifunze na unaanzaje kumpenda mtu hakupend😢tena we huna kinaa🙌
Kweli ujibali kwamba mapenzi yameisha usilazimishe
Hicho Kisa Shena kinahuzunishaaa , Bora angeikimbia familia kuliko kuwauwa na watoto waliokuwa hawana hatia ya hayo mahusiano plus kichanga kilichokuwa Tumboniii
Yani inasikitisha sana
Tena amewatumbukiza watoto kwenye Tank za mafuta wakiwa hai 🥲
Hii documentary niliona discovery ID kwenye dstv
Yaani Jamani acheniii 😢😢😢
Hatua alizochukua ni mbaya mno hata Kama mke alikuwa anafosi kwanini aue mke na watoto ni mmuuaji
Maisha ya mtandao yanadanganya usinikumbushe kibubu challenge mdada alituaminisha unajichanga pesa kumbe mwenzetu mume wake anauza madawa haramu
Maisha ya mtandao tuyaache kwenye Macho tu
😂😂😂 hivi na yeye alisalimika kweli na kifungo yule dada yani tunatakiwa kuwa na subra sana na mitandao hii watu wanaishi maisha ya kuigiza watazamaj tunaona kama reality kumbe maigizo
Kwakweli apa nikisa cha kusikitisha na nifunzo kubwa sana inasikitisha kwakweli.
Afu mkaka mzuri tu ukimpat utasema umeopoa
Hiki Kisa niliwahi kisikiliza yaani Very Sad
Sana
😢😢😢 Ndo maana sina huruma na michepuko
Jamaa anadai haamini kama mke na watoto hawapo nyumbani! Eti anawataka warudi!! Halafu taarifa polisi imetolewa na rafiki/jirani. Damu aliyoisaliti itamtesa sana. Story ya kusikitisha mno 😢
Namkumbuka huyu dada kumbe alikufa 😢😢😢
😢😢😢😢😢😢
Mauwaji kama haya yanatokea sanaa tuu hata hapa Belgium. Kitu kinachoumiza ni pale wanapoingiza watoto kwenye matatizo yao.
Shena ubarikiwe
Halafu utasikia dada zetu wavivu wakiafrica wanasema wazungu wanajua kutunza wake zao kuliko wanaume wakiafrica, sijui wanaangalia kwenye muvi au vipi maana nahuku wapo wahuni kuliko hata uhuni wenyewe
Watu wabaya wapo kila kona ya dunia
Binadamu wote wakiwa wabaya wabaya tu
Visa hivi mbona viko telephone huku Africa. Nikuomba tu mungu atusaidie
@@OfficialDatingAssistanceumependeza da sheena
sad story, tunachoweza kujifunza nikwamba tujifunze kuona dalili mbaya za mwanzo na kufanya maamuzi kabla mambo hayajakuwa makubwa,tuache mambo ya kuvumilia kwenye ndoa bila sababu za msingi, tuishi kwa haki na upendo,sasa huyo kama ameweza kuuwa mke wake atashindwa vip kuuwa hata ndugu zake, he is like Animal,tujiepushe na hasira za binadamu. yaani nimeumia mnoo hasa kwa watoto.
MWANAUME HUYO WA HOVYO SANA!! UNAUWA FAMILY YAKO KWA MCHEPUKO !!!! MIMI HAPA NIMEJIFUNZA KITU , MAPEZI YANA UWAA KWA KWELI
Imani ya dini ikiwa chini shetani anakuingia poatu.
Very sad, hapa ilitokea pia mama wa ki ghana na Binti yake , waliuliwa kwa gas na mume wake wa kizungu . Jamani mapenzi mkutimkuti.
Alikua M- Tz?
Yap
Watu waache kurazimisha mapenzi
Mapenz ya kuonesha mtandaoni s kla mtu anafurahia
Mapenzi...Unapendana na mtu anakupiga tukio unaisi kupoteza tumain.hiyo story inahuzunisha sana tunapitia haya
Leoo niko no 1
Duh!!? 🥺
Kumbe nao ni waongo
Ni binadamu utofauti wetu n'a wao ni rangi tuu
@@devothasimbi6495ndio
Aisee ni hatari mnoo. HAKIKA AFYA YA AKILI HUMPATA YOYETO HAIJALISHI.
True
Duu😢
😢😢😢😢
Alivy mkavu anjifny anauchungu wanaume mmmh NI htr
Yaan mm nikiona hizi changamoto najikuta nawachukia sana wanaume sitaman kabis kua kweny mahusiano kabisa
Mwamini tu mungu wapo wame wema na waovu pia ila mume mwema utamjua kwa matendo na muovu pia Kuna siku uongo ma ukweli hujitenga kuhusu mume mwema na mkweli hivyo omba mungu mume mwema yupo
Duuuuuuuuh
Sheina mimi nataka kuja ulaya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Karibu sana
Moyo wa mtu hakika ni kichaka. Asante shena kwa ushauri mzuri. Mm inafikia hatua binadamu nawaogopa kabisa. Sijuh tumekuwaje yaani mtu anaweza badirika kama anaingiliwa na mapepo halafu akishafanya tukio ni kama pepo linakaa pembembeni kumtazama.
Duniani kweli kuna mengi ya ajabu na kusikitisha sana.
Nimejifunza mapenzi yakiisha bora kukubali tuu na kutolazimisha yaendelee maana kulazimisha kunakuja na pande mbili.
Duh! Huyo baba hawezi pata raha au furaha duniani mpk anakufa manake damu za watoto na mke zitamlilia kila akijaribu hata kufumba macho yake.
Sijuh dunia inatupeleleka wapi.
𝔍𝔪𝔫 watoto
Sheina mimi nataka kuja ulaya
Cruel man
Tamaa ya kuolew na wazungu.wazungu wanawangilia kinyume n maumbile
Muombe Mungu sana akupe maarifa ndio kitu pekee unahitaji kwasasa
Kwani hao weusi hawaingilii? Mtu anaweza kubadilika haijalishi ni mzungu au ni muafrika
Huo ndo ukweli si tunaona wasichana wengi wakitoa ushuhuda.
Kweli dada zetu wanafanya siri, kwa sababu waliwapenda wazungu, chochote eanawafanyia ili tuu asiachwe hatari sana
😅😅😂😂
😢😢😢
😢😢😢