MAHUSIANO MENGI YANACHANGAMOTO KUBWA YA TENDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
  • Sex therapist, Dr. James ni mtaalamu wa elimu na afya ya mahusiano na tendo ambapo ametueleza mengi ya kutufunza kuhusu tendo la ndoa
    Na mahusiano ya unyumba na mwenza wako.
    Madhara ya tabia fulani na faida zake pia.
    Kwa msaada zaidi unaweza mpata kwa instagram yake @sextherapist au ukamuandikia whatsapp kwa namba alizozitaja hapo.
    Thank you Dr. James for allowing this to be online
    www.oda.international

ความคิดเห็น • 51

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 ปีที่แล้ว +1

    Jamanai kwtu Tz wanaum wamefeli sanaaaaaa tu , wajifuze jamani wanakera wanaboa .

  • @hellenondiso9542
    @hellenondiso9542 ปีที่แล้ว

    I just loved the class mengi tunasahau kuhusu tendo la ndoa. We need more on this ❤❤

  • @PureSoul-rf4xd
    @PureSoul-rf4xd ปีที่แล้ว +1

    Hii elimu ni nzuri sana na je itafikaje kwa wahusika maana ulimbukeni ni mwingi juu ya sex education

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 ปีที่แล้ว

    Asanteni sana dada pamoja na dokta daa nimejifunza mengi asanteni darasa ni zuri sana

  • @ruthmashambo373
    @ruthmashambo373 ปีที่แล้ว +2

    Du! Asante Kwa hili Somo sikujuaga kabisa kua Kuna elmu ya tendo la ndoa,🤔

  • @wemamanikana9791
    @wemamanikana9791 ปีที่แล้ว +1

    Asante doctor

  • @WinWilly4162
    @WinWilly4162 ปีที่แล้ว

    Ahsante Doctor&our sisy shena❤

  • @agathathobias8690
    @agathathobias8690 ปีที่แล้ว

    Ahsante Dr kwa somo zur

  • @imanmtamu
    @imanmtamu ปีที่แล้ว +4

    Aki nimecheka😂😂😂 kwanza kwa titi juu nakerwa..wengine wanapapasa uke kama wanafungua engine ya gari😂😂😂😂

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp ปีที่แล้ว

    Nimejifunza mengi mno kipitia hichi kpndi dada enxxxx my dear

  • @SabinaVicent-l2u
    @SabinaVicent-l2u ปีที่แล้ว

    Darasa nzuri sana Kila siku napata mazuri dada shena

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 ปีที่แล้ว

    Kwenye elimu yoyote ile nzuri au mbaya hakuna matusi. Usemi pia unaenda na msemo wa Kiswahili maarufu usemao mficha uchi hazai

  • @oxwad3836
    @oxwad3836 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Doctor kuwen makin nilimtafuta akaniambia nilipie kipind nikalipia elf50 kilichofuata anqkupqngia labda mda fulan tutaanza, ukimpigiabhapokei wala hakutafuti nakingine anakulazimisha kununua dawa zake so muwe makini naye sana

    • @YuyuMp-d8y
      @YuyuMp-d8y 3 หลายเดือนก่อน +1

      Basi mwizi

  • @dayana5513story
    @dayana5513story ปีที่แล้ว +1

    Doctor uyu kanikosha mimi👏

  • @AinekishaNyakato
    @AinekishaNyakato ปีที่แล้ว +3

    Tafadhali Shena tunaomba Daktar huyu wa mahaba awepo kila wik angalau siku moja tunapona kwakweli

  • @KhadijaLeonard-zs9el
    @KhadijaLeonard-zs9el ปีที่แล้ว +8

    Da shena mbona ka unakipaji kipo ndan Yako why usikisomee zaid unahoji vizur sana na upeo sana

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว

      Ahsante sana
      Inabidi nianze angalia hili sasa 🙏😁

    • @deuskusaga8156
      @deuskusaga8156 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa Yan anahoji vzur kiasi kwamba hata sisi watizamaji tunakosa maswali🤗

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le ปีที่แล้ว

      Tena mm skuhiz nmekua sipitwi na haya mahojiano Kwa kweli❤ mungu ambariki TU huyu dada sheina❤

    • @deuskusaga8156
      @deuskusaga8156 ปีที่แล้ว

      @@nahlahassan-fd6le apewe maua yake tu🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa. Mtu haboeki kumsikiliza. Atafika mbali sana

  • @aminanyamraja8454
    @aminanyamraja8454 ปีที่แล้ว +1

    Number za representative please

  • @sarafinasangajenga1378
    @sarafinasangajenga1378 ปีที่แล้ว +1

    Hahhaha hahhahaha nimecheka sana Leo na nimejifunza😅😅😅

  • @upendomahenge3802
    @upendomahenge3802 ปีที่แล้ว

    hili Darasa lilikuwa zuri sana nimejifunza mengi sana nisiyoyajuwa.

  • @bellacaramella2196
    @bellacaramella2196 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏😊

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 ปีที่แล้ว

    Great session

  • @deuskusaga8156
    @deuskusaga8156 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @upendomahenge3802
    @upendomahenge3802 ปีที่แล้ว +3

    nataman huu ujumbe uwafikie watu wengi ambao hawajui lolote

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 ปีที่แล้ว +1

    Grow ni kunawili kwa ngozi na mwili

  • @AishaAbdallah-r1d
    @AishaAbdallah-r1d ปีที่แล้ว +3

    Halloo Mada konki😂😂

  • @rosemery3017
    @rosemery3017 ปีที่แล้ว

    Huwezi amini mim msukuma wangu saingine anakwambia nope ukimwambia leo nimechoka anakwambia nitakubaka tu siwez kulala hawez hata kubembeleza jmn😢🤔

    • @Yolanda-n3x
      @Yolanda-n3x ปีที่แล้ว +3

      Wasukuma na wakuriya hawajui mapenzi ni twende twende tu hawajui kusema pole mama pole baby😅😅😅

    • @rosemery3017
      @rosemery3017 ปีที่แล้ว

      @@Yolanda-n3x kbsa. Waambie kupenda mwili 🙌😩🤗

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 ปีที่แล้ว

      Inahitaji uvumilivu sana kwa baadhi ya Makabila

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 ปีที่แล้ว

      Uuwii umeamua kuchomoa betrii kabisa.?🤣🤣🤣🤣

    • @rosemery3017
      @rosemery3017 ปีที่แล้ว

      @@damariszuckschwert9489 😆😆😆🤭😩🤗

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 ปีที่แล้ว

    SHENA DARASA LINAINGIA SANA MWANAKWETU

  • @hamedalharthy4902
    @hamedalharthy4902 ปีที่แล้ว

    Dr James darasa Safi yuko wapi na gsm wathsapp no

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 ปีที่แล้ว +3

    Hao wanaume wanaopenda kwenda kinyume si watafute mashoga moja kwa moja? Wanawake msikubali hii laana ni utapeli mkubwa huu na msidanganyike ni upendo. Whats a hell???
    Asingeelezea kwa upanda huu angekemea tu basi. Its wrong wrong..,hata kwa imani za dini. Hata nchi zilizoendelea hawafanyi hayo, ni imani za Watanzania kutokana na video za X wanazoangalia. Hell NO.
    Angekemea alivyokemea sex toy za mtumba eish.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  ปีที่แล้ว

      Sasa huyo ni daktari, anaongea ki sayansi hatuwezi kumlaumu.

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 ปีที่แล้ว +1

      @@OfficialDatingAssistance Hata kisayansi siyo njia sahihi yakufanyia mapenzi. Mbwa wenyewe hawakosei.

    • @ruthmukami7573
      @ruthmukami7573 11 หลายเดือนก่อน

      @damari hii ni darasa. Si vizuri ku judge. Acha watu wawe na uhuru kuchagua. Kuleta mambo ya dini humu si vizuri. Kama hupendi kitu basi. Let other people decide for themselves what they want without criticizing them. This is a class, no judgment in here please!!

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 ปีที่แล้ว

    Hili ni PANAAA JAMANI TULIPATE TENA PLEASE NEXT TIME

  • @neemamassawe8091
    @neemamassawe8091 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂

  • @aishafeysal9630
    @aishafeysal9630 ปีที่แล้ว

    Sextoi yamtumba😅😅😅