NIMEWASILIANA NAE MWAKA KUMBE NI MUME WA MTU | RAFIKI ALIKUA ANAMNYEMELEA MCHUMBA WANGU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Noreen ametupatia experience yake wakati anatumia mtandao kutafuta mwenza. Na sasa amechumbiwa na Muhispaniola.
Ameeleza marafiki walivyo pambana kuingilia penzi lake na mchumba wake na jinsi jamii inavyomchukulia kua anapaswa kua na pesa wakati wote.
Ndugu jamaa na marafiki wanavyokua wanahitaji msaada wa pesa wakati wote na kusababisha changamoto kubwa.
Thank you Noreen for allowing this to be online
www.oda.international
Dada mrembo nimempenda yupo vizuri,anaogea vizuri ❤❤❤
Mariiiooooo😂😂😂 hongera kama kawa Sirius kwako anajua kiswahili cha ndan haswaaa
Hongera sn..jifunze kihispania kitamu sana😊😊
Nipo Zaragoza Spain
Mbarikiwe tujifunza kupitia kwenu❤❤❤
Mmmmm mie wazungu wangu hakuna uchumba navalishwa pete pete ya uchumba siku moja kabla ya ndoa hongera mungu akusimamie 🙏🙏
Mzungu akijua sana kiswahil ni miyeyusho
Hakuna rafiki wa kweliiiii sahauuuu
Namba moja, nimewahi, nipeni maua yangu
Woow
Dada Shena hebu tusaidie kupata mtu aliyeolewa ama kudate na mchina😂😂😂
😂😂😂😂😂
😁😁😂🤣 Niko upande wako natamani kujua pia
Kuna dada wa kigoma kaolewa na mchina ni maarufu sana Kazaa watoto 2
🤣🤣
😅😅😅😅
I think sio lazima kulipa mahari, waeleze wazazi ndugu tamaduni za wenzetu na pia kwangu mimi sikutaka kulipiwa mahari Coz I’m not a property to sale na kwangu sikuichukulia vizuri sababu tunapendana sisi wawili na kama ni kulipiana mahari basi pande zote mbili zitoe mahari…. Mume alipiwe na mke alipiwe….. kuna tamaduni za iiafrika bwana 😅sio lazima kizifata zote….
Mahari cio tamaduni ya Africa hii sheria alio tuekea mola wetu mumba mbigu na ardhi na cio lazima mamilion ni kitu chochote ambacho atapatiwa mwenye kuolewa hiyo ni haki yake...
Mahari cio tamaduni ya Africa hii sheria alio tuekea mola wetu mumba mbigu na ardhi na cio lazima mamilion ni kitu chochote ambacho atapatiwa mwenye kuolewa hiyo ni haki yake...
Km sio property ssa mbona unajigawa bure??? Mapenzi au tamaa???
Hakuna rafiki hakuna ndugu watakuangamizaa , you have to learn
Jitambue , wanataka kukuharibiaa
Sio Lazima utoe Pesa, Manka sikiliza ukitaka hayo yasikupate POTEZEA 🙅♂️
Uk ?? Bado tunataka kujuwa mzungu kutoka uk London England
Diuuh
Ila uyu Marioo jmn 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Kawalaaaa mno yan ashadate marafk zangu wawl nawajuaa Yan kiswahili anaongea hata mswahl ajui
I can't reply my messages In online dating
♥️♥️♥️
Mungu atusaidie kwakweli 😂
Huyo mpangaji alikuwa Kifaa
Kuolewa na mxungu uxeeni anakushirt anachukua wasichana wadogo,unabaki kutoa mimacho,bora wa kuxeeka nae.
Embu tuleni chakula jaman sio kwa kujikondesha uko kisa mzungu kama ipo ipo tu kuna wabongo wanaela kushinda hata hao wazungu wenyewe
Yeye kaongea kwa experience yake
Kama wewe mbongo anakulea kwa kiasi kikubwa hongera na wewe unaweza toa ushuhuda wako 🤷♀️
Kaz yako nzur dada
Mungu akisaidie kizazi cha leo wanaona kuolewa na wazungu vibabu mwisho wa siku ukizeeka maisha yako yanakuwa na changamoto
upuuzi mtupu
Mbona makasiriko lakini ?
@@OfficialDatingAssistance nawambia tu ukweli
@@OfficialDatingAssistancedada mambo vipi mwambie huyu dada awe very careful na waspanish mimi nipo huku miaka kumi na tano
@@OMARJUMAOMAR-i2vawe careful kivip!! Funguka
Stop Posting niwaambie, utalilia chooni, ACHA KUPOST POST
Kadogo kenyewe
ndo umejikondesha hivo mikono kama miguu ya mbuzi ili upate mzngu tu waswahli tamaa zinatuuwa
😂😂😂😂😂Ila wewe
😂😂😂😂jaman
😂😂😂jmn wewe sabiha wewe sawa tu
Jamani acheni msimnyambe hivyo please 🤭
😂😂😂 heeeee
Somebody help