UNAWEZA KUKOPA BANK KUPITIA JINA LA MWENZA WAKO | TALAKA INATOKA BAADA YA MIAKA 2 | PRENUP NA NDOA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Mwanasheria Venance Nyongole ametueleza mengi kuhusu sheria ya ndoa na haki za ndoa.
Ameeleza mambo mengi ya kisheria kuhusu ndoa na mzawa na ndoa na raia wa kigeni.
Ameeleza ukiingia kwenye ndoa endapo mnahitaji kuachana basi inapaswa kusubiri miaka miwili ndio uweze kuomba talaka ya ki sheria.
Unaweza wacheck kwa Website yao
www.ulizasheria.co.tz
ZAKE & Co ADVICATES
Rita Tower, 15th floor Dar es salaam
Email: v.nyongole@gmail.com
Thank you mwanasheria Venance Nyongole for allowing this to be online
www.oda.international
Tunashukuru sana leo tujue sheria ya ndoa safi kabisa ❤❤❤
Hata Europe sijasikiaga kuhusu ndoa za mikataba, huu uzushi nausikiaga tu na watanzania. Siyo kweli.
Habari yako dada pia waislamu sheah wainta murtah marriage. Kwasababu hawatakii kufanya zinaa kwa mda watakao kubariana wao inafanyika inchi za kiarabu IRAN pamoja na Iraq pia na kadhalika sheah religion
Shaina naomba number ya huyo mwanasheria aweze kuni saidia
Mm Niko Tanzania nimeolewa na raia wa kigeni na saidiwaji kupata divorce yangu
Share na sisi your story inaweza tusaidia kwanini unataka talaka