Aunt wangu ujuwe hicho kijij hapo kama mwenyewe unavyokiita kinajitegemea kwa mengi . Uslinganishe ulaya na vijiji vya Tanzania ambavyo mahitaji yao meengi yanatoka mjini. Lakini hapo naamini wanakila kitu. Maofisi , mjini (centrum) wao na wenyewe, hosipitali yao mashule yao nk. Hawahitaji kwenda kutafuta kazi mjini, wao na wenyewe hapo watemetengene 3:05 😢za ajira zao . Kwa hiyo hicho siyo kijiji kama vijiji vyetu mi.aamini hako ni kajimbo, na huno ndani kunavijiji.
Lakini nyumbani na jamii yetu inaamini kijiji basi mi kijiji zaidi ya Nyumbani na pengine wanachinja watu.. ndiomana nimewaletea hapa ili wasafishe Macho na watoe mawazo mabaya waliyokua wanafikiria
Bravo beautiful. Ni vyema kabisaa unavyojieleza - sio vizuri mwanamke kutegemea wanaume. Chapa kazi na ujibambe mwenyewe my friend 😂😂
Jamani hii si masaki na mbezi beach kabisa 😂
Napenda sana life la kijijini❤❤❤
Wow ni kizuri sana huko,yaani mie bora tu kama kuna huduma muhim
Wenzetu wanazingatia mipango miji sana ndo maana nyumba zao zimekaa kwenye mpangilio mzuri sio kama huku aiseeee 😂
Beautiful village
Natamani huko nipate hata wazee wa kulea , naimani ukifanya kazi maeneo ya huko maisha ya takuwa rahisi
hata vijiji vyetu vizuri sana shena kama kwetu kilimanjaro ni full kijani cha ndizi😅
Exactly
I agree
Aunt wangu ujuwe hicho kijij hapo kama mwenyewe unavyokiita kinajitegemea kwa mengi . Uslinganishe ulaya na vijiji vya Tanzania ambavyo mahitaji yao meengi yanatoka mjini. Lakini hapo naamini wanakila kitu. Maofisi , mjini (centrum) wao na wenyewe, hosipitali yao mashule yao nk. Hawahitaji kwenda kutafuta kazi mjini, wao na wenyewe hapo watemetengene 3:05 😢za ajira zao . Kwa hiyo hicho siyo kijiji kama vijiji vyetu mi.aamini hako ni kajimbo, na huno ndani kunavijiji.
Lakini nyumbani na jamii yetu inaamini kijiji basi mi kijiji zaidi ya Nyumbani na pengine wanachinja watu.. ndiomana nimewaletea hapa ili wasafishe Macho na watoe mawazo mabaya waliyokua wanafikiria
Kijiji kama masaki
@@OfficialDatingAssistancenikutumie namba yangu namaongezi yamuimu
Qjijini quna maghorofa jmn mashaallah
Kila mahali kijijini ni kuzuri sanaaa!!!
Huku ndio masaki 😂😂😂😂😂😂
Sio pazuri sana, nilienda Kwa wadatch kijijini ni kuzuri sana
Je ni sawa na vijiji ambavyo jamii yetu nyumbani wanafikiria ambao hawajafika kwa wa Dutch ?
Yan natamani kuishi huko jamn Mungu sikia maombi yangu
Woow
Dada shena nakushaur vaamtandio
Mambo!
KWA HIYO dada TZ utarudi lini?
Au ndo basi wazungu wamekung'ang'ana!
Pazuri sanaa
Umenichekesha sana😂😂😂
Hi beautiful very nice yes very clod here too ❤❤
Kuzuri sana❤
Kijijini lkn kuzur sanaaa❤❤❤
ni wapi huko?
Kijiji kama masaki dah
Kijiji? Mbona kijiji ni kizuri kuliko hata Arusha mjini 😅😅
Kabisa jaman.mana Arusha sipaelewagi ramani yake.
❤❤❤❤
life ya kijijini kwenye nchi zilizo endelea ni raha zaidi,
Uko poa mdg wangu?
Yaan pazuri kama mjini 😂
Kijijini kuna msauzi 😂😂😂
Mbona kizuri jamani
Mnooo
@@OfficialDatingAssistanceHabari yako dada nimefurahi kuona unavyoelimisha jamii.hongera sana sana ,Mungu akubariki, salaam toka Nürnberg ❤
Naishi na mimi Kijijini
Shena me cjui kiingereza hyo ndo changamoto
Me like your
Aan kama nje ya mji kizur sana
Wazungu awapendi kuona mweusi kijijini kwao
Kwanini ?
Mimi nimeona wako Poa tu
Na wanatabasamu hawana habari
Kunzur kama usukuman vile😂😂😂😂
Nitafute rafiki huko