Ni kweli kabisa Shena, nimewahi kutana na wawili wamepost picha na mavazi ya udaktari, mwisho wa siku chache niligundua ni tapeli, tena alkw mnaigeria akanifanya mzungu, mwingine alkw ni muhindi😂😂😂...
@@inongee1141 hehe pole walikutapeli pesa ama? Mm huyo wa naigeria alianza kunambia anatuma code iingie kea cm yangu from fb, mara anataka niongee na mama yake mara vitu gani, just from the first day of talking nikahisi mapema anataka nitapeli, cna picha nilifuta siku nyingi.
Sorry Shenna ivi ukiwa uko nje ya Tz na una kadi ya bank ya iyo nchi uliyopo unafanyaje malipo napata shida je naweza kulipia kwakutumia account ya mtu mwingine
@@OfficialDatingAssistance Asante sana niliisha poa japo haikuwa rahisi ilifikia wakati nilikuwa naongea pekeangu afu mwili ulikuwa unatingishika wenyewe yaani nilifikiria nakufa ilibakia kidogo niwe chizi
Uwii asante Shena umetufungua akiri mimi nimekutana na uyo mtu leo hii ila nikampotezea amevaa mavazi ya kijeshi
Ni wachache sana ni wa ukweli
99% ni wezi mwaya
Wow,Asante.
Ni kweli kabisa Shena, nimewahi kutana na wawili wamepost picha na mavazi ya udaktari, mwisho wa siku chache niligundua ni tapeli, tena alkw mnaigeria akanifanya mzungu, mwingine alkw ni muhindi😂😂😂...
Na ndio zao hao, wanatumia hizo picha kuibia watu
Pole dada🤣🤣🤣na mimi yamenikuta
Mbona nikama hao hao walio nitapeli mimi natamani unionyeshe hiyo picha😅😅😅
@@inongee1141 hehe pole walikutapeli pesa ama? Mm huyo wa naigeria alianza kunambia anatuma code iingie kea cm yangu from fb, mara anataka niongee na mama yake mara vitu gani, just from the first day of talking nikahisi mapema anataka nitapeli, cna picha nilifuta siku nyingi.
@@Riyovlogs789 nilitapeliwa milioni ishirini.20 nililia mwaka mzima sitokaa nisahau 😢
Ni kweli kabisa hasa kwenye udaktari
Well said. Precautions is better than Cure.
Very true
Ni kweli mimi ninekutana nao wengin
Wewe dada nakupenda Bure unaongea vizuri na kuelimisha vizuri Mungu akubariki
Kweli kabisa shena matapeli wakubwa
Wale waliovaa nguo za pilots na wale wa ndege za private nahisi waongo pia😂😂
Hao wamo pia
Yani ni uongo kutamanisha wenzao tu 😁
Wa Nigeria. AKA wapopo😂😂😂😂
Mimi waliniambia tufanye biashara ya madini ndio walinipiga kwa njia hio
Pole sana lakini ndio kujifunza
Sasa dada yangu uki na bwana kwani weye sorry kwa Swahili langu but you're beautiful and❤
Shukran, ndio niko na bwana
@@OfficialDatingAssistance i wish all the best
Sorry Shenna ivi ukiwa uko nje ya Tz na una kadi ya bank ya iyo nchi uliyopo unafanyaje malipo napata shida je naweza kulipia kwakutumia account ya mtu mwingine
Unaweza
Kikubwa baada ya kulipia then u cancel subscription ili asikatwe mwezi unaofata
Shenna hii uliyoeleza hapa kuifanya baada ya malipo ni kwa malipo ya kadi yoyote na nchi yoyote that after payment cancel subscription.
Alie nitapeli. Milioni ishirini.20 alitumia picha ya u dakitari umeongea ukweli kabisa jamani
Pole kwa mtihani