Yaani kama mko akilini mwangu, elimu ya afya ya akili ukweli sisi Waafrika hatunayo na tunapuuzia hili swala sana. Watu wanateseka na hili jambo sana na ukijaribu kusema mtu analeta stori zake ili tu akwepe jambo lako au kwa kuwa hana uelewa basi unadhania tu mwisho wa siku hakuna msaada anapata mtu.
Mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe wewe songa mbele hao wanaofatilia mambo ya watu hawana kazi ya kufanya watu wako bize na mambo yao kwa ajili ya kesho yao wengine ni wifu unawasumbua kwa kukosa ubunifu ba uthubutu mungu akubariki kwa kutupa elimu.
Kikubwa ni kuelewa kuwa Kama mtumie hafanyi ustaarabu ambao wewe hujauzoea Haina maana wewe ni bora kuliko mwenzako, Kuna tabia za sisi wa Africa tunapofika ughaibuni tunapenda sana kukosoa Mila na desturi za wa ughaibuni, sio tabia nzuri, nashauri tuheshimu Mila za watu Haina maana ufate ya ughaibuni au ujibadilishe ufate ya ugenini kikubwa ni kuheshimu
Hiy Siste Sheila. My name is Omari l m writing for you from Arizona America l used to follow you. In your dating assistant session. So, l would like to ask how can l join you
Afya ya akili kwa wa Africa wanaoishi ughaibuni ni kubwa umegusa penyewe kabisa, wengi hawataki kujichanganya au kujifunza mambo mageni amabyo yanakuwepo, unakuta kwenye mji unaoishi Kuna michezo tofauti hushiriki, Kuna vikundi tofauti vya kijamii lakini utaratibu wao haufanani na ule aliozoea, badala ya kwenda kushiriki na kujifunza unabaki ndani umejifungia peke yako unabaki kupiga simu Africa kila siku au unashinda kwenye TV lazima upate afya ya akili
We need more of this topics ❤ good work! Awareness on mental health in bara la kush 😊❤❤❤
Ihii interview nimeielewa aswaaa ni kweli mmeongea vizur sio watu wanatudanganyaa mtandaoni
Dah kweli kabisa ❤
Wadau naomba link ya yule kaka anayeelezea scholarship za INDONESIA tafadhali..
Yaani kama mko akilini mwangu, elimu ya afya ya akili ukweli sisi Waafrika hatunayo na tunapuuzia hili swala sana. Watu wanateseka na hili jambo sana na ukijaribu kusema mtu analeta stori zake ili tu akwepe jambo lako au kwa kuwa hana uelewa basi unadhania tu mwisho wa siku hakuna msaada anapata mtu.
❤❤❤
18:56 yes I'm ready shena
Mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe wewe songa mbele hao wanaofatilia mambo ya watu hawana kazi ya kufanya watu wako bize na mambo yao kwa ajili ya kesho yao wengine ni wifu unawasumbua kwa kukosa ubunifu ba uthubutu mungu akubariki kwa kutupa elimu.
❤
Challenge kubwa inayosababisha msongo wa mawazo ni lugha na system ya kimawasiliano ya hizi nchi
Shukran kwa mtazamo wako 🙏
Kikubwa ni kuelewa kuwa Kama mtumie hafanyi ustaarabu ambao wewe hujauzoea Haina maana wewe ni bora kuliko mwenzako, Kuna tabia za sisi wa Africa tunapofika ughaibuni tunapenda sana kukosoa Mila na desturi za wa ughaibuni, sio tabia nzuri, nashauri tuheshimu Mila za watu Haina maana ufate ya ughaibuni au ujibadilishe ufate ya ugenini kikubwa ni kuheshimu
Well said 🙏🙏📌📌
Hiy Siste Sheila. My name is Omari l m writing for you from Arizona America l used to follow you. In your dating assistant session. So, l would like to ask how can l join you
WhatsApp +4367764790884
Watu huwa hawapendi kusema ukweli wanatudanganyaa tu mitandao na kutundanyaa tu mm kiukweli nimekubali natokeo
Afya ya akili kwa wa Africa wanaoishi ughaibuni ni kubwa umegusa penyewe kabisa, wengi hawataki kujichanganya au kujifunza mambo mageni amabyo yanakuwepo, unakuta kwenye mji unaoishi Kuna michezo tofauti hushiriki, Kuna vikundi tofauti vya kijamii lakini utaratibu wao haufanani na ule aliozoea, badala ya kwenda kushiriki na kujifunza unabaki ndani umejifungia peke yako unabaki kupiga simu Africa kila siku au unashinda kwenye TV lazima upate afya ya akili
Shukran kwa ujumbe mzuri wa mtazamo
Hata mimi naishi Germany majukumi ndugu Africa yananitoa akili
@@jumasuleiman7171 majukumu ni mengi Africa lakini chunga afya yako Kwanza kabla ya yoyote, shida za Africa haziishi
@@jumasuleiman7171 kwa nini usowasaidie ndugu zako?