WIZI MPYA WA VIDEO CALL WA KUTUMIA TEKNOLOJIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 69

  • @esterkivaria8986
    @esterkivaria8986 9 หลายเดือนก่อน +2

    Asante mpendwaaa barikiwa

  • @suzanajonhnyodwa1561
    @suzanajonhnyodwa1561 9 หลายเดือนก่อน +3

    Asante Shena Mimi nimeumbua watu wawiili kweli Ni wamekua wengi Hadi naogopa.😮

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  9 หลายเดือนก่อน +1

      Pole sana
      Pia profile yako itakua inavutia scammers
      Karibu darasani kwangu kuweka mambo vizuri

    • @ally0thmanfundikira463
      @ally0thmanfundikira463 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@OfficialDatingAssistancedarasani kwako naongiaje na namba zako mitazipataje

  • @joycebenjamin6017
    @joycebenjamin6017 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante dogo kwa kutujuza mana,kuna kuchanganywa ukachanganyika🤣

  • @sarahgustaph2710
    @sarahgustaph2710 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mda sana Hao Da..Shena wapoo

  • @adelinemanongi5999
    @adelinemanongi5999 9 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa

  • @othmanibnabdullah
    @othmanibnabdullah 9 หลายเดือนก่อน +2

    Leo nimesikia sauti yako 🤭🥰😍😘💝❣️💋💞

  • @mariambakari8065
    @mariambakari8065 9 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa taarifa

  • @linkreuben3108
    @linkreuben3108 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hatari!!

  • @nanaritho6850
    @nanaritho6850 8 หลายเดือนก่อน

    Nikweli kabisaaaa!!! Hata Mimi lilinikuta lkn nilish nilishtuka baada ya kusema nimekununulia zawadi Sasa nakutumia then nilipe!!!! Nilimchamba hatar

  • @CelestineLihavi-rw8kp
    @CelestineLihavi-rw8kp 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ukweli kabisaa.Asante sana

  • @zainab8251
    @zainab8251 9 หลายเดือนก่อน +2

    Shena Asante sana

  • @ColetaTibaijuka
    @ColetaTibaijuka 8 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli yalishanikuta hayo

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 9 หลายเดือนก่อน +2

    Sema ukitaka kuwajua huwa wanakuwa same position wakiwa wamekaa hawasimamagi 😂

  • @JamilahKallaghe
    @JamilahKallaghe 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana dear

  • @CheerfulJackalope-uu9ls
    @CheerfulJackalope-uu9ls 8 หลายเดือนก่อน

    Nataman kaz nje ya nch

  • @mjukuuwamizimu8524
    @mjukuuwamizimu8524 9 หลายเดือนก่อน +2

    Wa Nigeria watakuuwa

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 9 หลายเดือนก่อน +1

      Wakorofi sana wale, wakimjua wataanza kumhack na kumreport kwa reasons za uongo. Ila ana nia njema, Mungu atamlinda, InshaAllah

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  9 หลายเดือนก่อน +1

      Ameen ameen 🙏

    • @Chaotic-c2p
      @Chaotic-c2p 9 หลายเดือนก่อน +1

      Tutawaua wao hata sisi tushawajua hawatutishi tena .Shena we are together usitingishike

  • @FayeezAlbahassaney
    @FayeezAlbahassaney 8 หลายเดือนก่อน

    Dada yangu

  • @aajabbinmagosh5509
    @aajabbinmagosh5509 8 หลายเดือนก่อน

    Duh tumefikia hapo😂😂

  • @JozeFeeen
    @JozeFeeen 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kweii Dada

  • @NeemRamadhani-j8h
    @NeemRamadhani-j8h 9 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Kwa kutusanua

  • @MamaLorenzo
    @MamaLorenzo 9 หลายเดือนก่อน

    Hii kiboko😂😂🙌

  • @omarikhalfan1079
    @omarikhalfan1079 9 หลายเดือนก่อน +2

    Thanks

  • @JozeFeeen
    @JozeFeeen 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mm ya shanikuta dada

  • @zidatv1122
    @zidatv1122 9 หลายเดือนก่อน +2

    Aliongea na mimi sekunde kazaa tuu akatoweka baada ya hapo anataka kuchati tuu

    • @sarahgustaph2710
      @sarahgustaph2710 9 หลายเดือนก่อน

      Kabsaa😂

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 9 หลายเดือนก่อน

      Alafu huwa wanakuwa visababu vingiiii ukiwastukiaaa

  • @daynessmbaga5885
    @daynessmbaga5885 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dada naomba namba Yako ya WhatsApp au email address nataka tuchat Nina story

  • @abdulmauya4874
    @abdulmauya4874 5 หลายเดือนก่อน

    Kila jambo utakalo kwa pupa bila uyakinifu wake jua kuwa asilimia kubwa kukumbwa na madhara usidanganyike kuvutiwa kwa anasa ama faida usiyotarajia.

  • @shanilingenju3513
    @shanilingenju3513 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna nikua nawasiane nae hee siku iyo kajisahau ameweka stutas yake nyimbo za taarabu sina muda huo sina wa kudos as watu mie😢mzungu wa kizaramo😂😂

  • @anniafredrick8925
    @anniafredrick8925 8 หลายเดือนก่อน +1

    hata mtandao unaitwa botim, mm nilikutana na mmoja anatumia hivyo nikamblock baada ya kumnwambia kuwa nimemgundua kuwa ni mwizi

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tuko pamoja live

  • @HelenKivuyo
    @HelenKivuyo 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nieshakutata nao wawili ila niliwagundua

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  9 หลายเดือนก่อน +2

      Hongera sana

    • @HelenKivuyo
      @HelenKivuyo 9 หลายเดือนก่อน +1

      Asante dada shena unatuelimisha sana na kutusanua mambo mengi ubarikiwe sana

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 8 หลายเดือนก่อน

    Tobaaa 😢

  • @AFRIS
    @AFRIS 9 หลายเดือนก่อน

    Dada angu nime kuomba njia yakumpata black Singapore ujanijibu negyangu

  • @Ngwalithegreattrainer
    @Ngwalithegreattrainer 9 หลายเดือนก่อน +1

    🤝

  • @aajabbinmagosh5509
    @aajabbinmagosh5509 8 หลายเดือนก่อน

    Unafanya dating assistance jina ya channel

  • @mwanaidibakari3657
    @mwanaidibakari3657 9 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran kwa kutujuza Toba kumbe wezi wa mitandaoni wapi wa video call weh

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 9 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂

  • @Tausishaban-he5io
    @Tausishaban-he5io 8 หลายเดือนก่อน

    Ahxant dada,me jaman nimetafta wazungu weng sana kuna mmoja akanichk akaomba anipigie video call akawa kaficha sura kesh yake akapiga ety anahtaj video sex nikamtus sana na akanitumia picha ake ety yy ni mzungu anataka kunitumia pesa nikasev no ake sa mok nw post zake ni za watu weus kama congo au Rwanda jmn

  • @zidatv1122
    @zidatv1122 9 หลายเดือนก่อน +1

    Iliwahi nitokea kila nilimpigia tena vidio collo hataki nikamwambia wewe mwizi

  • @zidatv1122
    @zidatv1122 9 หลายเดือนก่อน +1

    Aliongea na mimi sekunde kazaa tuu akatoweka baada ya hapo anataka kuchati tuu