JE UNAPENDA KUVAA ORIGINAL BRAND LAKINI UNAONA NI GHRAMA KUBWA ? UNAWEZA KUPATA KWA BEI YA NAFUU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Outlets zipo nyingi kwa Europe,
Nchi nyingi za Europe wana outlets center ambapo designers Stores wanauza bidhaa zao kwa bei ya punguzo (sale)
Hapa ni Pandorf Outlets Austria.
Hongera sana dada shena kwa Kaz nzuri unayoifanya .....unahakikisha unatusanua kadri unavyoweza ...kwa kweli tunajifunza vitu vingi kupitia platform yako... Mungu akubarik sana mrembo wetu.
Shukran dear 🙏🥰
Svhukrani kwa kutujuza
Nilikuwa Roermond Sartuday last week end sababu Ilias King birthday in The Netherlands.I like to shop in outlets ❤
Woow 🥰🥰
Shukran! Hizo outlets ziko Germany ama Switzerland?
Mfano kwa Europe, zipo Europe nzima.. Ingia Google andika Outlets Germany
Utaona List wanazo ngapi na zipo maeneo gani
My dia hongera sana nitakuja live kusomba huko
Kabisaaa 🥰🥰
Ni org. Hata huku kuna kipindi wanafanya
Hizi za Outlets ni siku zote zipo hapo.. hazina kipindi.. Yani hata uende kesho utakuta products kwa punguzo