Shida ni kwamba, Dating sites Tanzania watu wanazichukulia kama Prostitution sites! imagine mna match, unaanzisha Conversation ila responce inayokuja ni "100k for 1night" mweeh
Baada ya kusikiliza elimu yote hii ..hivi kweli mtu unaandika koment inayouhusu maisha persornal ya mtu..usungi ndio unaongea ?yaan uchawi sio lazima ubebe dungur jmn hata midomo jmn loh wabongo tuache negativity lets support
Napenda kaz zako dadaa
Ombi langu tufafanuli na bei zinakuwaj local na international
Barikiwa sana kwakutusaidia
Looking great Dada!
Asante madam nataman uniunganishe na iyomitandao
Asante sana dada yetu❤
Asante sana kwa kutujulisha
Dada panapo majaliwa utwambie nishingapi ya Tanzania 😂❤
Shukran sanaaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Bumble ni mavi ... Si shauriiii
Hujajua namna ya kuitumia.. so usikatishe watu tamaa
Ahsante sana ❤❤
Shukran love
Dada sis tunao tumia WiFi inakuaj
Shena . Afrointroducrion wanaonyeshabkulipia kwa Airtel. Lakini niikingia kwenye Airtel hakuna pakulipia . Tunaomba msaada wa maelekezo
Nice 👏👏
How can get personal coaching. I am not good I Swahili
Dada uyoo ongera san
Looking good
Nielekeze jinsi ya kulipia
Asantee dear
❤ nice
Asante sana dear
How can get personal coaching
Im here
shena naomba utuelekeze jinsi ya kulipia hizi dating app
Video ipo chini
Asante sana ❤❤
Shena pls naomba namba yako. Nna shida ya kuongea na wewe
Shida ni kwamba, Dating sites Tanzania watu wanazichukulia kama Prostitution sites! imagine mna match, unaanzisha Conversation ila responce inayokuja ni "100k for 1night" mweeh
Baada ya kusikiliza elimu yote hii ..hivi kweli mtu unaandika koment inayouhusu maisha persornal ya mtu..usungi ndio unaongea ?yaan uchawi sio lazima ubebe dungur jmn hata midomo jmn loh wabongo tuache negativity lets support
Ni mtihani sana, kuna watu wanajiona ni wakamilifu mno
Tinder inakataa kufanya kazi under review or verification kwann msaada please
Asante
How are we going tp pay please tell us we are confused
Video ya payment nilishafanya
Tizama kwa list ya videos utaona
Kulipa ni aje
❤❤❤❤
👊🏾👊🏾👊🏾
❤
Where is hijab mumy??
Kabatini mumy, unaitaka ?
😂😂😂😂😂😂
Msoeni haya zinazohusu kujistili
@@OfficialDatingAssistance😂😂😂😂😂tuvumilie tu wabongo wenzio😂😂😂😂😂
Kilemba usha kitupa Allah yupo Ramadhan Tu ogapa Allah wewe mtoto wa kike
Hongera kwako uliemkamilifu
Dont jurge a book is cover….
Usimuhukum mtu hujui nia yake….
Mbona unakuwa wa kuhukumu ,wapi imeandikwa kutoa kitambaa ni DHAMBI ?? PLS STOP JUDGING OTHERS JAMANI
Kilemba ni suna kwa mtoto wa kiisilamu.
Kwani kilemba kitu gani unaweza vaa lakini dhambi kibao
Bantu inasumbua aitaki kupokea documents za mtu inaandika email not found
Then angalia email yako kwa usahihi.. Kama umekosea lazima itakataa
@@OfficialDatingAssistance kweli inasumbua hasa application
Hae..am a kenyan..Currently working in Saudi...looking for a white man..am divorced with 3big kids..am 40yrs..can u plz connect me
Nielekeze jinsi ya kulipia