Nimeanzisha mahusiano na mzungu mbaba wa makamo from USA . Tunamwezi mmoja Sasa tulikutana FB Sasa tunachati what's up na video calls but Mara nyingi huwa naanzisha Mimi mazungumzo yeye hapana..Nisha mlalamikia kuusu hili akasema yupo bize na kazi na wakati mwingine anaonesha video call akiwa kazini. Na swali dada ivi huyo ananipenda kweli..? Yeye nikimuuliza anasema ananipenda plz ushauri da shena
Huyu ajipe kama siku 3 hivi bila kuanza kumtafuta akiona mzungu hamuanzi amtafute kwa text moja tu ya hello then akae tena week pasipo kumtafuta .then akae mwezi pasipo kuanza kumtafuta.Mzungu asipoanza kumtafuta tena.hapo akili ajiongeze kutoendeleza tena mawasiliano.
Mashallah Shena nakupenda bure
Asante
Eid Mubarak 🎉
Eid Mubarak
Naomba kuuliza nilitaka kulipia nalipia wap kwenye assistant dating sites
🙏🙏🙏
Jamani mwenzenu tinder mbona nakutana nawatu weusi wengi kaka zetu wa hapa tz au kuna sehemu nakosea jamani
Angalia kwenye setting zako kuna sehemu ya distance kilometer na globar utaweza kuwaona walio mbali, dili na vipengele hivyo
😅😅😅😅😅 wazungu watanawatoa josho ,hatarii sana
Nimekua wa kwanza leo😂
🥰🥰😍
@@OfficialDatingAssistance Dada huongei na mtu mmoja mmoja?
Swadakta dada 🔥🔥🥰
Nimeanzisha mahusiano na mzungu mbaba wa makamo from USA . Tunamwezi mmoja Sasa tulikutana FB Sasa tunachati what's up na video calls but Mara nyingi huwa naanzisha Mimi mazungumzo yeye hapana..Nisha mlalamikia kuusu hili akasema yupo bize na kazi na wakati mwingine anaonesha video call akiwa kazini. Na swali dada ivi huyo ananipenda kweli..? Yeye nikimuuliza anasema ananipenda plz ushauri da shena
Kua na wengi wa kuwasiliana nao.. utapunguza malalamiko
Huyu ajipe kama siku 3 hivi bila kuanza kumtafuta akiona mzungu hamuanzi amtafute kwa text moja tu ya hello then akae tena week pasipo kumtafuta .then akae mwezi pasipo kuanza kumtafuta.Mzungu asipoanza kumtafuta tena.hapo akili ajiongeze kutoendeleza tena mawasiliano.
@@OfficialDatingAssistancekwa kweli Shena umeongea point
Mtakufa na kihoro cha wazungu,
Unaonekana hata akija mwehu wa kizungu unaenda, huon wala husikii,
Wabongo tuko pale tunawaangalia
Tuko pamoja dada sheina
🙏🙏
Hello dada
Niko na swali .
Bwanako ni mzungu Muslim au alibadilisha dini kwa sababu yako
Hello Mimi, sio bwana ni mume… 😁Amebadili dini
@@OfficialDatingAssistance ooh ni sawa
ALHAMDULILLAH ❤
Shena unajielewa dada... ndicho nilichogundua
Wazungu na mambo ya dini itajuwa wewe
Kuna NAMNA ambavyo naitaji msaada wako wa ushauri nafanyaje
NAWEZAJE kuwasiliana nawe Kwa ushauri na changamoto