Ni kweli kabisa,mume wangu aliniambia alifanyiwa Tohara akiwa mtoto Mama yake alimwambia kuwa alikuwa akiugua utotoni so akamfanyia Tohara lakini yeye anasema hakupenda coz anaona kama alifanyiwa ukatili so😊 basi huwa me nafurahi yeye anaona alionewa😅 ila yuko pouwa sana yani❤
Me kuoa bila mahari naona kama bado sijaoa. Raha ya kuoa Utolewe upepo kidogo ili kujipima kama utamudu majukumu😂😂😂. Lakini Kama ulivyosema inatakiwa iwe reasonable sio kukomoana
Mimi nilikataa mahari mwenyewe, sikutaka kujisikia kama nauzwa.,nilitaka wazazi wangu wasaidike kila mara wanapohitaji msaada wetu. Na kwa upande wangu nilijihisi free.
Mweee Shena Mdogo wangu wazungu kweli wanamagovi,Mimi kijana wangu nilimpo mzaa nikwamwambia baba yake tumtahiri mtoto,alikataa kabisa basi nilipokwenda nyumbani sasa baba yangu alipomuona mjukuu wee aliniambia kesho huyu lazima atailiwe,nikamwambia baba sasa unanitafitia kesi na mzungu,basi kijana alitahiliwa Tanzania,na alikuwa bado Mdogo,basi tuliporudi Switzerland mbona karibu nipewe taraka ,mzungu alikasirika mno yaani,Leo hii kijana wangu mkubwa ananishukuru sana🙏🏾
sio wazungu wote, ila nime ona sana wazungu wa ulaya wengi wao hawaja pewa tohara. ila wazungu wengi wa marekani wamefanyiwa tohara, japo wapo ambao hawaja fanyiwa hata weusi unakuta wapo ambao hawajafanyiwa.
Marekani wanajitahidi sana kwenye hili suala la tohara. Watoto huwa wanafanyiwa siku chache baada ya kuzaliwa hospitali. Kiasi kwamba watoto wengi wanafikiri wamezaliwa hivyo.
😂😂😂😂weee Shena KO jamaaazetu bado Wana mikono ya Sweta duuuh hatar kwakweli dada km. Nimekutan na mtu mm huyo na mm sipend jins alivyo nawezaj mwambia Afanye tohar??
Asante sana kwa Elimu nzuri 🙏❤️🔥
Ni kweli kabisa,mume wangu aliniambia alifanyiwa Tohara akiwa mtoto Mama yake alimwambia kuwa alikuwa akiugua utotoni so akamfanyia Tohara lakini yeye anasema hakupenda coz anaona kama alifanyiwa ukatili so😊 basi huwa me nafurahi yeye anaona alionewa😅 ila yuko pouwa sana yani❤
Akili kubwa Mungu akubariki Shena
Ahsante kaka
Me kuoa bila mahari naona kama bado sijaoa. Raha ya kuoa Utolewe upepo kidogo ili kujipima kama utamudu majukumu😂😂😂. Lakini Kama ulivyosema inatakiwa iwe reasonable sio kukomoana
Hata Yesu aifanyiwa tohara
Siku ya nane baada ya kuzaliwa
@@OfficialDatingAssistanceuko nchi gani
Shena big brain kabisa
Thank Damari, so do you 🥰
Mimi nilikataa mahari mwenyewe, sikutaka kujisikia kama nauzwa.,nilitaka wazazi wangu wasaidike kila mara wanapohitaji msaada wetu. Na kwa upande wangu nilijihisi free.
Mweee Shena Mdogo wangu wazungu kweli wanamagovi,Mimi kijana wangu nilimpo mzaa nikwamwambia baba yake tumtahiri mtoto,alikataa kabisa basi nilipokwenda nyumbani sasa baba yangu alipomuona mjukuu wee aliniambia kesho huyu lazima atailiwe,nikamwambia baba sasa unanitafitia kesi na mzungu,basi kijana alitahiliwa Tanzania,na alikuwa bado Mdogo,basi tuliporudi Switzerland mbona karibu nipewe taraka ,mzungu alikasirika mno yaani,Leo hii kijana wangu mkubwa ananishukuru sana🙏🏾
sio wazungu wote, ila nime ona sana wazungu wa ulaya wengi wao hawaja pewa tohara. ila wazungu wengi wa marekani wamefanyiwa tohara, japo wapo ambao hawaja fanyiwa hata weusi unakuta wapo ambao hawajafanyiwa.
@@sleeprelaxation8431 Yes wa Ulaya wengi tu👍🏾
Govinda Govinda Govinda I’m singing
😂😂😂
Marekani wanajitahidi sana kwenye hili suala la tohara. Watoto huwa wanafanyiwa siku chache baada ya kuzaliwa hospitali. Kiasi kwamba watoto wengi wanafikiri wamezaliwa hivyo.
Ni kweli wamarekani wanajitajitahid sana kwa asilimia kubwa tofauti na Europe
Shena my mwanamke anakeketwa mwanaume ndo anafanyiwa tohara
Shukran kwa kunipatia neno fasaha la Kiswahili.. 🙏
Mume wangu andaa milion 10 zangu, stak kelele😂😂
Kuna mmoja aliuliza kwani wanaume wa Kiafrika hawajui kujisafisha au ni maji hakuna ndiyo maana wanafanyiwa tohara?😂😂
Mpaka serikali ya South iafrica metowa muongozo watu wawe wanafanyiwa thohara kwasababu inapunguza magonjwa ndani ya jamii
😂😂😂😂weee Shena KO jamaaazetu bado Wana mikono ya Sweta duuuh hatar kwakweli dada km. Nimekutan na mtu mm huyo na mm sipend jins alivyo nawezaj mwambia Afanye tohar??
Wewe mkono wa sweta unakuumiza mahali ?
@@OfficialDatingAssistance daaah😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂@@OfficialDatingAssistance
🤣🤣
Hee sasa mimi niliamini tohora ilianzia kwenye Uislamu😅
😁ndio tunajifunza kila siku
Tohara Ujeremani ni haramu na tena ni kosa la jinai labla dokta ajirizishe ndio unaruhusiwa kufanya
Wamarekani wao wana tohara, nafikiri Europe ndo ambao hawana tohara
Ni baadhi wenye tohara
Sio wote kipenzi
@@OfficialDatingAssistance asilimia kubwa ya wamarekani wapo na tohara wengi kulinganisha na Europe asilimia chache dear