NILIPATA MZUNGU MTESAJI| MTANZANIA MWENZANGU ALINIPITISHA KWENYE MTIHANI|WAAFRIKA WENZETU HAWATUTAKI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Zakia ameeleza safari yake ya kutoka Tanzania mpaka Sweden. Changamoto alizokutana nazo mpaka kuja kusimama tena.
Changamoto alizokutana nazo kutoka kwa aliemualika na kwa watanzania wenzie.
Ametoa ushauri kwa vijana kujua kujisimamia na kutokatishwa tamaa.
Thank you Zakia for allowing this to be online.
www.oda.international
Am so happy to see you somo wangu Zakia, mm Niyo Netherlands sasa hivi
Nimefurahi kukuona Zakia,go go you will succeed.
Mwenyezi mungu atuvue izo loho za kishetani inauma sana
Sending love to you guys from Zanzibar
Nimeamini watanzania tuna choyo,, mimi niko Oman, nimekosana na madam wangu basi watanzania wenzangu ndio wako kundi moja na muarabu kunikomoa mimi, aliye turoga alikufa
Pole sana Aisee
Karibu kwa kipindi +4367764790884
Sanaa
Alieturoga alikufa 😂 coz yaoekana karibu kila kona ya dunia tuko hivyo, hatupendani, ingawaje sio asilimia 100, au pia sio kama watu wa mataifa mengine wako perfect
Pole Sana, Wala usiwalaumu Sana sio kila mmoja ana ujasiri wakusimama na kutetea ukweli haswa walioko gulf, pengine hao wenzio wanalinda Amani Yao kidogo wanayoipata kutoka Kwa Hao maboss wao, focus on your work,jitume, vumilia vinavyovumilika ikishindikana tafuta msaada Kwa ofisi uliyoenda nayo na km hutapata rudi hapa Kwa da shena nitafute.
Pole Halima Mwenyezi Mungu atusaidie
Mungu amtunze hyo mama Mungu ni mwema sana
Amina 🙏🤲
Channel Yako inaelimisha watu wengi dada Shena.
Nakupenda sana dada❤🎉
Nimependa anavyojibu haswa sehemu ya kujipa moyo siyo kukata tamaa.
🙏🙏
Ukweli ❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂kunawazungu na mizunguko 😂😂😂😂😂😂😊😊😊😊
Nakukubali sana da shena one love
Kitu kinanishangaza hata hao wanaofanyia wenzao vibaya nao wakija kwenye kipindi watalalamika pia, doh😢
Umeongea vizuri sana, mimi sinaga mambo ya urafiki na wabongo
🙏🙏
Sana
Usituchukie maisha ni kushirikiana
ubarikiwe sana dada
Safi sana nimempenda bure mdada, ushauri wake,yupo sahihi
Asante sana
Yaani wewe uko kama Mimi sipendi usumbufu ndiyo maana naishi peke yangu
Naam, dada yuko sahihi👍
👍👍
Na sio nchi za nje zote kuwa waweza kupata makaratasi kupitia kuzaa mtoto, nyengine NO
Nikweli inachokisema ndugu yangu watanzania atupendani kabisa tunapo kua ugaibuni mm mwenyewe yameshanikita mambo mwengi sana na wasabishaji watanzania wezangu ila nimejifunza mambo mwengi sana na wamenijenga nimekua kivyangu vyangu sijali wala nini
Pole sana na Hongera
Karibu sana kwa kipindi +4367764790884
@@OfficialDatingAssistance assnte kipenz ngoja kwanz nikae sawa nitakutafuta
👌👌
Pole Sana Dada mwenyezi mungu azidi kukuhongoza
Asante sana
Da shena please uwe unatunotify kwa insta story yako kama ilivyo kuaga zaman like "karibuni TH-cam live" that could be cool
Sheena yupo wapi?mbona hana update yoyote n8 mzima kweli??tumtizame jamani. I'm worried
Dada sheina naomba nitafutie kazi mwezio yakulea wazee
Wao kipenzi changu
😍
❤❤❤
Nchi za watu kujitafuta kazi sana
Wengi tume teseka kwenye nchi za watu Ukiingia, ukiwa na roho ndogo unarudi, sitosahau mimi nilipo fika USA 🇺🇸
Pole sana
Karibu kwa kipindi +4367764790884
Ndio sehemu ya maisha
Naipenda America nisadie nije dda nipo Tanzania❤
Shena nakushukuru sana umeelimisha watu vizuri sana kila mtu niliemjua anaetaka kują ulaya namwambia kabla ya maaumuzi msikilize shena kwanza na umewasaidia.
Pole sana....Udugu..... Allah Akufanyie wepesi maisha yako upate furaha na Muangaza mzuri
Uyu dada Yuko sahii
Nilimic midahalo yako dada shena punguza kutubania ata kama umekua bize hizi story tunakufwatilia zinatufunza sana❤
@@ivankadaudi8161 sana zinatusaidia sana na kututia moyo, mungu ambariki sana
Pole dada
Asante sana
Tunajifunza vingi
Pole sana dadangu
Shukrani
Nafikiri baadhi ya nchi za ulaya watanzania wak9 na majungu tofauti na nchi za America sijui kwanini au maybe wako wengi sana
Samaki anaitwa sill
😂mimi soon nakuja sitaki mbongo anidongelee ntawageuza covid😅😅😅😅😂
Karibu sana tuko pamoja
Kwaupande wangu ninaogopa wa tz kuliko simba nyikani au papa na nyangumi Bahaharini ,mtanzania ameniharibia Nyumba yangu kaenda ktk shirika la Nyumba akasema siri zote nikanyanganywa nyumba yangu hapa hapa swiden ( ulaya ) huyo mtu ni msukuma. Ogopa wa tz wakimbie kama ukoma.
Pole sana
Karibu kwa kipindi +4367764790884
Watanzania sio kabisa kiukweli inasikitisha
Pole Sana inauma sana
Mbona huko ulaya nasikia wanafanya kazi kwa masaa kumbuke na huko wanafanya kwa mwenzi na kulipwa kwa mwezi kama huku bongo
@@PureSoul-rf4xdongopa yakuambiwa ndugu 😢
Ila.mzungu wa Lucy Komba Havana kwa kweli
😂😂😂😂,nenda ulaya lala njee hila usilale kwa mtu
Yani inasikitisha sana
@@OfficialDatingAssistance kabisa hila siyo uhungwana wanachofanya
Mzungu wa Lucy komba nilipomuona .ara ya kwanza.nikajisemea moyoni bora hawa hawa Akina Hamisi vivuruge mzungu kachokaa
Mume wake ni kijana wewe uliyemuona ni mkwe wake
Watanzania nyie hatupendani kabisa.
Ni waoga
😅😅😅😅
Jitihada haiondoi/haiondoshi kudra
Choyo hazijengi na Wala hutobarikiwa
Kila pahali ni nusukwanusu chena
Nimecheka eti achana na hosptali
Unatuharibia kusema tar ya mshahara uwiiiii
😂😂😂😂😂😂😂 haswa
🤣🤣 zinaanza simu
Nisameheni 🤣🤣
@@zakiakondo2849
Na je wafanyakazi wote huko Sweden hulipwa kwa mshahara wa kila mwezi/hizo tarehe? coz nchi nyengine hulipwa mfano kila baada ya wiki mbili, na hapo ni kulingana na masaa utakayoyafanya nyuma
Zakia kondo.
Nasemajeee, tuwapende, tuwaombee na tusiwachukie wabongo ila tuwaepuke kama virus hasa waswaz waswaz😂
😂😂😂😂
Hiyo kuchambwa na kuitwa mchawi kha.,kaongea kwa uchungu hata moyo umeniuma. Pole sana mwanamke mwenzangu😢
Waafrica tuna mambo ya hovyo sana.
Asante sana kiukweli niliumiaga😢
❤❤❤