IYAMBA LYETÚ DC TV
IYAMBA LYETÚ DC TV
  • 834
  • 7 311 046

วีดีโอ

2/07 WATU ZAIDI YA 150 NA SILLAAA ZAIDI YA 200 ZA KAMATWA NA JESHI LA FARDC MUJINI GOMA🙏
มุมมอง 6Kวันที่ผ่านมา
2/07 WATU ZAIDI YA 150 NA SILLAAA ZAIDI YA 200 ZA KAMATWA NA JESHI LA FARDC MUJINI GOMA🙏
30/06 #KIBIRIZI KANYABAYONGA KURUDI KWA JESHI LA FARDC NJO SABABU YAKU POTEZA MIJI KAZAA
มุมมอง 9Kวันที่ผ่านมา
30/06 #KIBIRIZI KANYABAYONGA KURUDI KWA JESHI LA FARDC NJO SABABU YAKU POTEZA MIJI KAZAA
CHARLES SIMBI #NENO LA MWISHO KATIKA DUNIA 😭😭
มุมมอง 1.9Kวันที่ผ่านมา
CHARLES SIMBI #NENO LA MWISHO KATIKA DUNIA 😭😭
SEREKALI DRC YA SHUKURU ECJCGS CANADA WATU 500 GOMA KUPATA MSAADA.
มุมมอง 1.6K21 วันที่ผ่านมา
SEREKALI DRC YA SHUKURU ECJCGS CANADA WATU 500 GOMA KUPATA MSAADA.
DEDESI MITIMA : 🚨 HALI YA UKOSEFU WA USALAMA NDANI YA KEMBI SITA 6 NDANI YA GOMA
มุมมอง 3.4Kหลายเดือนก่อน
*HABARI MBICHI KUTOKA JOMBONI KIVU YA KASKAZINI, MIMI NI MOSES MUMBERE HAPA MJINI GOMA*, KWA LEO TUNAONGELEA HALI YA UKOSEFU YA USALAMA NDANI YA KEMBI SITA ZENYI KUPATIKANA NDANI YA KATA LA LAC VERT AMBAMO SIRAHA ZA ZURURA NDANI YA KEMBI HIZO. HUMO NI RAHA KULEWA, KUVUTA BANGI NA IKIUKAJI MWINGI WA HAKI ZA BINADAMU, AOMBA KWA VIONGOZI KUKAMATA MIKAKATI YA KU TOSHA ILI WAHAMI WAISHI NDANI YA USA...
VITA VYA MASHARIKI MWA DRC VYA ZITIKISA MBINGU ADI KUSHUSWA KWA UJUMBE HUU.
มุมมอง 4.2Kหลายเดือนก่อน
VITA VYA MASHARIKI MWA DRC VYA ZITIKISA MBINGU ADI KUSHUSWA KWA UJUMBE HUU.
URGENT:04/06:WATU WA KAGAME WAFICHAMAO KIVU KUSINI KUSUMBUWA CONGO NA BURUNDI WACHUKULIWA ATUWA FIZI
มุมมอง 6Kหลายเดือนก่อน
Modifier avec InShot : inshotshare.app
LE GOUVERNEMENT SUMINWA SERA INVESTI ENTRE le 10 et 11 JUIN PROCHAIN CONFIRME KAMERHE
มุมมอง 1.2Kหลายเดือนก่อน
LE GOUVERNEMENT SUMINWA SERA INVESTI ENTRE le 10 et 11 JUIN PROCHAIN CONFIRME KAMERHE
KUNA UMUHIMU GANI WAKUJUWA KATIBA YA INCHI? JUSPDEE INAYO MSHINDIKIZA RAISI FÉLIX ANTOINE TSHISEKEDI
มุมมอง 3.1Kหลายเดือนก่อน
KUNA UMUHIMU GANI WAKUJUWA KATIBA YA INCHI? JUSPDEE INAYO MSHINDIKIZA RAISI FÉLIX ANTOINE TSHISEKEDI
BWEREMANA, SAKE KATIKA MIKONO YA #FARDC ❤️ VILE WAZA WAZA NA FARDC
มุมมอง 6Kหลายเดือนก่อน
BWEREMANA, SAKE KATIKA MIKONO YA #FARDC ❤️ VILE WAZA WAZA NA FARDC
31/05 VITA KALI ILIYO PITIKANA NDANI YA MUJI WA SOKE
มุมมอง 7Kหลายเดือนก่อน
31/05 VITA KALI ILIYO PITIKANA NDANI YA MUJI WA SOKE
25/5 MSAHADA WA MOJA WA WASIKILIZAJI WA IYAMBA LYETU A TOSHA MSAHADA KWA WATU 40 WAJANE NA YATIMA😭
มุมมอง 2.1Kหลายเดือนก่อน
25/5 MSAHADA WA MOJA WA WASIKILIZAJI WA IYAMBA LYETU A TOSHA MSAHADA KWA WATU 40 WAJANE NA YATIMA😭
23/5. JESHI LA SADEC YA ANZA KUTOSHA MAJESHI ZAKE MOZAMBIQUE KWAMBA NDANI YAO KUNA WASALITI 🤦
มุมมอง 8Kหลายเดือนก่อน
23/5. JESHI LA SADEC YA ANZA KUTOSHA MAJESHI ZAKE MOZAMBIQUE KWAMBA NDANI YAO KUNA WASALITI 🤦
USHINDI WARUDI KWA TSHISEKEDI
มุมมอง 6Kหลายเดือนก่อน
USHINDI WARUDI KWA TSHISEKEDI
LIVE SEHEMU WATU 35 WALIYO SITIRIWA MWILI NA SOMO YA MWISHO KWAO😭😭
มุมมอง 2.5Kหลายเดือนก่อน
LIVE SEHEMU WATU 35 WALIYO SITIRIWA MWILI NA SOMO YA MWISHO KWAO😭😭
🚨" 500 MOTARDS RWANDAIS OPÉRAIENT DANS LA VILLE DE GOMA. ILS ÉTAIENT à L'ORIGINE DE LA CRIMINALITÉ
มุมมอง 4.7Kหลายเดือนก่อน
🚨" 500 MOTARDS RWANDAIS OPÉRAIENT DANS LA VILLE DE GOMA. ILS ÉTAIENT à L'ORIGINE DE LA CRIMINALITÉ
UTUBA ZA KWENYE MAZISHI YA WAKIMBIZI 35 MUJINI GOMA 😭😭
มุมมอง 1.8Kหลายเดือนก่อน
UTUBA ZA KWENYE MAZISHI YA WAKIMBIZI 35 MUJINI GOMA 😭😭
MAZISHI YA WAKIMBIZI 35 MUJINI GOMA 😭😭
มุมมอง 1.8Kหลายเดือนก่อน
MAZISHI YA WAKIMBIZI 35 MUJINI GOMA 😭😭
NGEBENGEBE ZA RAISI WA UFARANSA ZATULIZWA NA TSHISEKEDI.
มุมมอง 3.4Kหลายเดือนก่อน
NGEBENGEBE ZA RAISI WA UFARANSA ZATULIZWA NA TSHISEKEDI.
#MSAHADA WAFIKISHIYA YATIMA PIYA NA WAJANE KUTOKA KWA WAOMBAJI TOKA MAREKANI 🙏🙏
มุมมอง 9152 หลายเดือนก่อน
#MSAHADA WAFIKISHIYA YATIMA PIYA NA WAJANE KUTOKA KWA WAOMBAJI TOKA MAREKANI 🙏🙏
SIRI KUBWA YA KIFO CHA LUMUMBA SASA HAZARANI, TSHISEKEDI ALENGWA PIA
มุมมอง 4.6K2 หลายเดือนก่อน
SIRI KUBWA YA KIFO CHA LUMUMBA SASA HAZARANI, TSHISEKEDI ALENGWA PIA
#WAJANE PIYA NA #YATIMA WASIO JIWEZA WAPOKEYA MSAHADA TOKA KWA WAOMBAJI MAREKANI #MASUJAA WABWANA
มุมมอง 1.3K2 หลายเดือนก่อน
#WAJANE PIYA NA #YATIMA WASIO JIWEZA WAPOKEYA MSAHADA TOKA KWA WAOMBAJI MAREKANI #MASUJAA WABWANA
YATIMA AHOGOTWA BAHADA YA MAMA YAKE KU POTEZA MAISHA UKIFATA VIDEO IYI UTA 😭😭😭
มุมมอง 2.3K2 หลายเดือนก่อน
YATIMA AHOGOTWA BAHADA YA MAMA YAKE KU POTEZA MAISHA UKIFATA VIDEO IYI UTA 😭😭😭
ASKOFU AMBONGO NI KIBARAKA CHA MAREKANI INCHINI CONGO
มุมมอง 2.6K2 หลายเดือนก่อน
ASKOFU AMBONGO NI KIBARAKA CHA MAREKANI INCHINI CONGO
URGENT: 24 /04 :WABUNGE 780 WA MUULA ULIOPITA WALALAMIKIA MISHAARA NA MARUPURUPU YA MYEZI ZAIDI 12 .
มุมมอง 2.9K2 หลายเดือนก่อน
URGENT: 24 /04 :WABUNGE 780 WA MUULA ULIOPITA WALALAMIKIA MISHAARA NA MARUPURUPU YA MYEZI ZAIDI 12 .
HABARI MBICHI:GOMA 19 04 :BALAA YAENDELEA,WENGINE TATU WAOKOTWA MAITI,KIBIRIZI NA BENI PIA CHA NUKA.
มุมมอง 6K2 หลายเดือนก่อน
HABARI MBICHI:GOMA 19 04 :BALAA YAENDELEA,WENGINE TATU WAOKOTWA MAITI,KIBIRIZI NA BENI PIA CHA NUKA.
URGENT : 18 04: WAZALENDO NA FARDC WA WANYUKA TENA WANYARWANDA KIVU KASKAZINI.
มุมมอง 6K2 หลายเดือนก่อน
URGENT : 18 04: WAZALENDO NA FARDC WA WANYUKA TENA WANYARWANDA KIVU KASKAZINI.
URGENT : 17 04 GOMA: USALAMA UNAZIDI KUDHORORA KATIKA MUJI WA GOMA MASHARIKI MWA DRC.
มุมมอง 4.2K2 หลายเดือนก่อน
URGENT : 17 04 GOMA: USALAMA UNAZIDI KUDHORORA KATIKA MUJI WA GOMA MASHARIKI MWA DRC.
14/4 😭 #MAISHA MAGUMU YA WAKIMBIZI WANAO PITIYA NDANI YA KAMBI ZA UKIMBIZI GOMA 😭😭
มุมมอง 1.7K2 หลายเดือนก่อน
14/4 😭 #MAISHA MAGUMU YA WAKIMBIZI WANAO PITIYA NDANI YA KAMBI ZA UKIMBIZI GOMA 😭😭

ความคิดเห็น

  • @InnocentMyanzi-ev1wk
    @InnocentMyanzi-ev1wk 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unasema munzuri lakini, urumanjo iliharibishacongo congo mupokeze nabasonda muzur 500$ moi, ichi itakuwazuritu sana ju sondajomweyichi 💪💪💪💪❤❤

  • @BINGOSAMY
    @BINGOSAMY 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yoooh

  • @kaboberdo227
    @kaboberdo227 วันที่ผ่านมา

    Il ya un coup d'Etat qui se mijote en douceur contre Felix, la preuve est que presque tous acteurs politico-administratifs sont passifs pour etouffer la vision du chef le mettre contre la population. Exactement comme on l'a fait au marschaller Mobutu. Meme strategie. Il faut tout chambouler pour redemarer avec la 4e republique.

  • @shabanisimbananiye5202
    @shabanisimbananiye5202 วันที่ผ่านมา

    Munguawaliendewotekwajîmulatutaombanduwamuchiendeichallarakwetu

  • @shabanisimbananiye5202
    @shabanisimbananiye5202 วันที่ผ่านมา

    Jambosawasawakabisatunachokasananawaeme23

  • @peterkwesele1091
    @peterkwesele1091 วันที่ผ่านมา

    Habari za drc zime tuondolea tamaa ya kufatiliya . kwasababu atuna wana siasa .

  • @kimetemugunga5019
    @kimetemugunga5019 2 วันที่ผ่านมา

    Mutukusoma Kisha unakuwa mupori niujinga mutupu

  • @user-vi9dl9qu4f
    @user-vi9dl9qu4f 2 วันที่ผ่านมา

    Maoni yangu ba américain ni ba djanja bajisemshaka kwakufanya sambla najapo bikoupandeya m23. Batoshe kwanza Monusco ku vita ju hakuna byenye banafanyaka aucontrere naboni ba m23 babatoke kwanza mu Spring booké.

  • @mapiganokarubankia9847
    @mapiganokarubankia9847 2 วันที่ผ่านมา

    Mimi ni MK lakini Network yako ina sumbuwa,Makani hataweza Baba.

  • @CelestinAkili
    @CelestinAkili 3 วันที่ผ่านมา

    Sahiti ahitoki juu yanini ni mimi bwenge

  • @londonmaisara2286
    @londonmaisara2286 3 วันที่ผ่านมา

    M'ze wa habari sauti yako haisikilike,nini baba umepigwa ma bomu za ma adui,Mungu awalindeni wote

  • @ngombebwanahali4476
    @ngombebwanahali4476 3 วันที่ผ่านมา

    Pole Saba mtangazaji wa Iyamba Liyetu TV. Vidéo nzima haina sauti, sauti hausikike.

  • @MalipoDjuma
    @MalipoDjuma 3 วันที่ผ่านมา

    Niko Burundi ndugu mbona ausikiki bwana mutangazaji

  • @MalipoDjuma
    @MalipoDjuma 3 วันที่ผ่านมา

    Jambo ndugu matangazaji mbona sauti akuna ninini

  • @MitterandMagambo
    @MitterandMagambo 3 วันที่ผ่านมา

    Sauti haiko

  • @jumaichimbuelo8507
    @jumaichimbuelo8507 3 วันที่ผ่านมา

    Sauti akuna

  • @AksantiBuhendwa
    @AksantiBuhendwa 3 วันที่ผ่านมา

    mutangazaji uniunge kwenye wapttsape

  • @amisiblaise9234
    @amisiblaise9234 3 วันที่ผ่านมา

    Kitu tutajuwa Niku jiokowa wenyewe raia kwa maana hatunanga rais Felix haja Kuwa pale kwa nguvu yake naye amewekwa sasa zile mikataba Ali signe ajili akuwe madarakani unafikiria ata zikwepeya wapi? Congo bado Niya rwanda kwa hiyo tujiokowe wenyewe raia. Sama lukonde ame jihuzulu unazani ni kwa bure? Kameleo vitale alikuwa na fungwa kisa pesa ila amefunguliwa na sai ako kwa kichwa ya serekali jiulizeni ni kwa Nini.? Congo Kuko mukataba ya Joseph kabila na Felix pia na vitale wagawe congo mara tatu na kila mtu akuwe president wa sehemu yake biko wazi. kabila president wa katanga Kameleo vitale president sud kivu north kivu. FELIX president wa uko kwao na njo maana hata bara bara hawaja anza Jenga sund kivu na lubumbashi.wakina naga niwa Ministre waki gawa nchi myaka nenga na wao wata kujaka gombea uraisi waki gawa nchi.

  • @amisiblaise9234
    @amisiblaise9234 3 วันที่ผ่านมา

    Nikiwa USA naomba sud kivu tutafutane na Putin na tumuone pita na mama samia sikuwa hasani watu Peye nguvu tugawe congo wabakiye na Kinshasa yao uko wajinga sana.uyo Ministre ni ubwa sana na serekali ya congo yote ni ma ubwa sana sud kivu tuki tomboka muta tukoma hamu tujuwaki Bien. Tume wachoka sana na ujinga wenu waku tuuwisha.simu fanye siyasa yenu yaku uziana zahabu zenu uko mutuwache sisi rahiya na amani kuliko kutuliyeya vita yaku tumakiza ubwa nyinyi.pesa ni kitu gani juu muuzishe watu mbona Mobutu ameziacha ako wapi kwa sasa ubwa nyinyi.

  • @amisiblaise9234
    @amisiblaise9234 3 วันที่ผ่านมา

    Miye ninge shauri wa depite wote wa sud kivu north kivu wa toke Kinshasa wajipange tugawe congo peke yetu na tupige Rwanda tuiongezeye Burundi ipeleke kipande ya rwanda na siye wa kivusie tupeleke kipande yetu. Presida nilikuwa na mupenda ila sai naona siyasa yake ya kuto ku piga M23 inaonesha Kinshasa wame tuuza sud kivu.

  • @rosettenyandwi
    @rosettenyandwi 3 วันที่ผ่านมา

    Biko naraha kule Kinshasa ila mungu iko naona bu shetani yenye biko na fanyiya batu ya est du congo.

  • @johnsonhunterofficial8046
    @johnsonhunterofficial8046 3 วันที่ผ่านมา

    Musaliti lazima auwawe kama Yuda.

  • @YesuniBwana-sv5zd
    @YesuniBwana-sv5zd 4 วันที่ผ่านมา

    inch ya Congo aiwezi kufunga mipaka na Rwanda ama na Uganda. Kwasababu ni fasiyaho ya kunyonya maziwa.

  • @AhadiBarume
    @AhadiBarume 4 วันที่ผ่านมา

    Kama sisi wa congomani hatujafikia kwa hatua Ya kuvunja ma traverse commercial katı ya Congo na Rwanda watazidi kuona Kama sisi tuna dépendre na wao. Wanyarwanda wa baki kwao na sisi wa congo tubaki kwetu.

  • @AksantiBabane
    @AksantiBabane 4 วันที่ผ่านมา

    Jambo yamba bafuge tu mipaka basiagaliye kwengi kwa batu

  • @ghislainekahindo-pu8ev
    @ghislainekahindo-pu8ev 4 วันที่ผ่านมา

    Il faut mettre a la place qu'il faut a la place qu'il faut.

  • @Pompidou-pv8eu
    @Pompidou-pv8eu 4 วันที่ผ่านมา

    Haiko vita nimapatano ya viongozi kwaku uwa population ya congo

  • @YOUNGGOFFICIEL-ig5ew
    @YOUNGGOFFICIEL-ig5ew 4 วันที่ผ่านมา

    haya yote ni sisi rahiya ndo tunaho uwezo wa ku ya maliza tuki simama kama vile wali fanya wa Kenya kwamaana yote raïs wetu ana yatambuwa mwanzo hadi mwisho sisi rahiya ndo dawa tu.

  • @JeanBaraka-pu5xo
    @JeanBaraka-pu5xo 4 วันที่ผ่านมา

    nikweli.baba.unasema.huo.utawala.niwabongo.wanajuwa.hiyo.vita.ndowako.wanapatiya.pesa.wote.ndobako.naisha.rhiya.sana

  • @babaabro8847
    @babaabro8847 4 วันที่ผ่านมา

    😂😂 iyamba Tv

  • @EustacheMurhula
    @EustacheMurhula 4 วันที่ผ่านมา

    Bonjour tunakufa vizuri Ila hawana mamlaka yakufunga mipaka sababu wao njo wanapenda vitaisiishe ju waendelee ku Pata ma Dola hawaangaikie raia wa Congo😂😂😂

  • @frederickmutimanwa2799
    @frederickmutimanwa2799 4 วันที่ผ่านมา

    Kaikwamba nijina za rinyarwanda izo

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 4 วันที่ผ่านมา

    Weko pale kwa ajili ya matumbo yabo na sio kwa ajili ya raia.

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 4 วันที่ผ่านมา

    Niatari sana

  • @cirhahongerwajohn9116
    @cirhahongerwajohn9116 4 วันที่ผ่านมา

    Haikukuwa mazungumuzo juya kuleta usalama ndani ya Congo bali kupitisha election muzuri Rwanda 🇷🇼 kwanini mbele habakusemaka juya dialogue politique ya americ ild

  • @ramadhanikhalfani4876
    @ramadhanikhalfani4876 5 วันที่ผ่านมา

    Nina msihi bwana Yakutumba asiitiki mwaliko wa kwenda Kinshasa na iwapo atakaidi ushauri wangu siku za uko mbele umri wake utakwisha.

  • @user-ph6mx9fy9b
    @user-ph6mx9fy9b 6 วันที่ผ่านมา

    Habari ni habaritu,na piblicite ni publicitetu.Tenganisha taharifa.

  • @NestorRamazani-qz5jc
    @NestorRamazani-qz5jc 6 วันที่ผ่านมา

    Jambo

  • @user-oy9hg5iz6g
    @user-oy9hg5iz6g 6 วันที่ผ่านมา

    Tuma wamini kaka usijali wanandamu waliyo mupinga yesu asulubio

  • @user-oy9hg5iz6g
    @user-oy9hg5iz6g 6 วันที่ผ่านมา

    Anata pata kyamutema kuni

  • @mapiganokarubankia9847
    @mapiganokarubankia9847 7 วันที่ผ่านมา

    Baba hio ni shida sana alakini wakichukuliwa sheria hio ya kuuawa habawezi saliti tena wakufe kabisa.

  • @amisiblaise9234
    @amisiblaise9234 7 วันที่ผ่านมา

    FARDC MUKI SHINDA IYI VITA NITAFIKA NATOKA UKU ULAYA NIKUJE JENGA HOTEL NA ITAPEWA JINA YA USHINDI WA FARDC NORTH KIVU.NINA UZUNI SANA NA HASIRA YA NCHI YANGU HATA NUKIWA INJE AINA AMANI WALA SIPATI USINGISI NO KISIKIA HABARI MBAYA AJILI YA NCHI YANGU.❤

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 7 วันที่ผ่านมา

    Chirumwami msaliti namba moja

  • @user-ct9fb5or2n
    @user-ct9fb5or2n 7 วันที่ผ่านมา

    KONGO kuna shida gani?! mwanajeshi mzuru ni wa kupigana hadi kufa, MBONA KONGO mnaaibisha nchi yenu,?

  • @MANZICOSTA
    @MANZICOSTA 7 วันที่ผ่านมา

    Hi aiko tabia yamuzuri kwa serikali. Wavijana wengi watatoroka kukazi

  • @TambweChakubuta-yq4jp
    @TambweChakubuta-yq4jp 8 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana kuwapa azabu.mwanajeshi awezi kukimbiya vita.