URGENT:04/06:WATU WA KAGAME WAFICHAMAO KIVU KUSINI KUSUMBUWA CONGO NA BURUNDI WACHUKULIWA ATUWA FIZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 มิ.ย. 2024
  • Modifier avec InShot : inshotshare.app

ความคิดเห็น • 9

  • @anniemapendo6103
    @anniemapendo6103 2 หลายเดือนก่อน +1

    Team IYAMBA LYETU TV, tunawasalimu nyote. Kwa kweli tunawapa mkono wapole kwa ndugu yetu WILLIAMS UNDJI BATANGALWA kwa msiba mkubwa huo wa kumpoteza mama mzaazi. Kristu mfariji mwema kila wakati. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe. Apumzike kwa amani 💔 😢😢. Je mazishi imefanyika? Tupo pamoja kwa shida hilo. Mungu awajalie nguvu.

  • @JanvierLubala
    @JanvierLubala 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee wa mbici alisha enda wapi sikuminzi hatumusikiye sauti haiko bien svp

  • @peterrulagora7403
    @peterrulagora7403 2 หลายเดือนก่อน

    Wakongo ni watu wasio na uzarendo kwa nchi ni wasaliti sana🇹🇿

  • @OscarNSomue
    @OscarNSomue 2 หลายเดือนก่อน

    Wamfungue yéyé ngoma nzito, hasiye ndunguze apana

  • @julienneaboki4105
    @julienneaboki4105 2 หลายเดือนก่อน

    Sauti sio njuri svp

  • @xavierlulinda7629
    @xavierlulinda7629 2 หลายเดือนก่อน

    Weye njo auna akili weye siyo congolais

  • @mwajumasakina9599
    @mwajumasakina9599 2 หลายเดือนก่อน

    Inchi iko mu desordre yakushindikana Mwenyezi Mungu njo utusaidie, Congo hatuna gouvernement

  • @BoboLydian-nk7xm
    @BoboLydian-nk7xm 2 หลายเดือนก่อน

    tupe abari mbichi baba

  • @casimirbabutetungoy8650
    @casimirbabutetungoy8650 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona Kivu kaskazini Wazalendo wanapigana bega kwa bega na FARDC, ijapokuwa kuna mazaifu fulani. Sasa kwanini ndugu zangu wa Fizi wanapenda kujitenga n'a FARDC nakufikiri Sawa kazi yao nikulinda Fizi pahali ya Congo. Wajikaze kujifunguwa n'a kuhusiana n'a Wazalendo wengine n'a FARDC. Kwa hiyo njia ndipo watasaidia Raisi kuijenga inchi. Huo mugawanyiko ni uzaifu mkubwa sana na haufai kwa inchi Yetu.