31/05 VITA KALI ILIYO PITIKANA NDANI YA MUJI WA SOKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @i_gabbykisalo4280
    @i_gabbykisalo4280 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hivo ndo taarifa za habari zinapashwa, kama gisi mlikuwa mkitangaza mwanzoni mwa mwaka 2023.

  • @byamunguemedy4674
    @byamunguemedy4674 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jambo Mzee WA mbichi Leta habari tunakufata toka Gauteng/South Africa

  • @BSLONGOLONGO
    @BSLONGOLONGO 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jambo ndugu... mzee wa kazi, tupe habari

  • @user-ct9fb5or2n
    @user-ct9fb5or2n 2 หลายเดือนก่อน +1

    poleni wakongo lwa wakimbizi wengi wanaoteswa na PAUL KAGAME

  • @AlumeRamadhani
    @AlumeRamadhani 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa

  • @MuthamoMoise-of1cu
    @MuthamoMoise-of1cu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tumesikiya ya kwamba m23 wanaenda Luberon nikweli ama ni kakule muthamo kutoka beni territoire précisément kasindi lubiriha drc

  • @crodwardedward
    @crodwardedward 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nakuomba unzie kwenye kusudi la Jabari maana unaongea Manteno mengi tofauti na Jabari usika.jaribu kufupisha Manteno nje la lengo

  • @mozamauwa3003
    @mozamauwa3003 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jambo

  • @GeorgeBisimwa-pz6vx
    @GeorgeBisimwa-pz6vx 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakufuata 5juu 5 mjini Bukavu Ila hizi siku hautowe abari mingi ni George bukavu

  • @willybazigame1999
    @willybazigame1999 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jambo sana mutangazaji wetu wa ilyaba letu unajuwa kuna mambo mengini ya naleta asiri kuwa waziri waliyo tumika miaka 5 hawakufanya lolote alafu tene wamerudishwa tena kwenye serikali mpya unafiriya hii myaka tano inakuja ndo watafanya lamahana??yani wana wanashezeya shilingi shoni tu na wanasababisha wizi tu.

  • @user-wv5mj6zf9n
    @user-wv5mj6zf9n 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tuko pamoja mzee wambichi naitwa Sylvin nikiwa mujini kalemie

  • @user-ik5ww6bz9g
    @user-ik5ww6bz9g 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jambo mtangazaji nahitwa selemani nimekupa 5/5

  • @user-sf2qe3ep1g
    @user-sf2qe3ep1g 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa watu wamesema wameisha kombola mtaa wa Sake sasa leo imefika je ,mapambano sake?

  • @KazumbaKakuleluhala
    @KazumbaKakuleluhala 2 หลายเดือนก่อน +1

    Leta habari mbichi nakufata Sana,

  • @user-ye3vb5ru5r
    @user-ye3vb5ru5r 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jambo nakupata kutoka USA 🇺🇸 Kentucky bowling Green mbona akuna sauti au ni simu yangu

  • @homebest9258
    @homebest9258 2 หลายเดือนก่อน +1

    Niko hewani,nikiwa Australia.

  • @kulevyavuwa6673
    @kulevyavuwa6673 2 หลายเดือนก่อน

    kwa nini musitoe video

  • @felkhawakwila7400
    @felkhawakwila7400 2 หลายเดือนก่อน +1

    Niko nawe Safi kabisa toka Goma