ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

25/5 MSAHADA WA MOJA WA WASIKILIZAJI WA IYAMBA LYETU A TOSHA MSAHADA KWA WATU 40 WAJANE NA YATIMA😭

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 16

  • @Ananias-et1rf
    @Ananias-et1rf 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu awabariki sana iyamba lyetu kwa kazi munaendeleya kufanya kwa ajili ya kuwasaidiya wa ambao hawajiwezi na piya shukrani kwa mtu yeyote ule aliweza kutowa ile kidogo kwa ku saidiya wa déplacé de guerre mu zidishewe zaidi na Mungu

  • @PiusKumikwa
    @PiusKumikwa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nashukurusana nikiwa kanyabayonga asante kwa iyamba lyetu tv

  • @user-hr3nf9jd5h
    @user-hr3nf9jd5h 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ajambo tena iyamba lyetu tv usichoke kuendeleya kuomba musahada zawa ndugu zetu walio ukimbizini asante kwa kazi mumefanya ni Aruna Mwana pa kasongo maniema

  • @kingknifemwenyekiti
    @kingknifemwenyekiti 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bien Sanaa kweli. Mungu awazidishie

  • @mapiganokarubankia9847
    @mapiganokarubankia9847 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bravo Iyamba Lyetu tumeona kuwa mupo imara kwa kugawa misahada MuNGU awabariki.

  • @KapalataObedjermie
    @KapalataObedjermie 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tunashukuru kwa kazi ambanzo munafanya

  • @RiphinPacifique
    @RiphinPacifique 2 หลายเดือนก่อน

    😢 pole sana kutoka klm

  • @KantuItos
    @KantuItos 2 หลายเดือนก่อน +1

    Courage watangazaji, Kweli ninyi ni wazalendo

  • @OscarNSomue
    @OscarNSomue 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tuko tayari kupokea habarimbichi baba mutangazadi, tunakufata apakwetu kasumbalesa

  • @heliodorekafarhire6208
    @heliodorekafarhire6208 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ninayo furaha kubwa kufuata kitendo chenu cha mapendo ya utume Mungu awape nguvu ya kuendelea.
    Ni siku nyingi niliomba namba yenu ya kweli kusudi nitume msada yangu ndogo sikupata jibu niko Kinshasa na tumaini kama nitapata jibu niko mskilikaji wenu mwaminifu.
    Mubarikiwe sana.
    ,

    • @dcihambaletu2290
      @dcihambaletu2290  2 หลายเดือนก่อน +1

      +243 832197507
      Kamba Mbily lwango tonny

  • @heliodorekafarhire6208
    @heliodorekafarhire6208 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aksanti tena nimepata namba yenu ndani ya phone yangu Mungu akipenda rendez-vous yangu kwenu juma kesho.