NGEBENGEBE ZA RAISI WA UFARANSA ZATULIZWA NA TSHISEKEDI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 9

  • @sebulasafari8696
    @sebulasafari8696 2 หลายเดือนก่อน

    Sauti siyo nzuri Kaka mukaguwe Mitambo vizuri asante

  • @user-vk8ju7wn8w
    @user-vk8ju7wn8w 2 หลายเดือนก่อน

    Sauti siyo vizuri atakidogo

  • @KantuItos
    @KantuItos 2 หลายเดือนก่อน

    Tcheki sauti sababu sauti si nzuri kabisa.

  • @babad1288
    @babad1288 2 หลายเดือนก่อน

    Hiii sauti huwa inakera sana ndugu Mtangazaji
    Jaribuni muwe mnatowa sauti inayo eleweka😢😢

  • @mapendoumoja800
    @mapendoumoja800 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akiwa upande wa wakongomani nani binadamu chini ya juwa atakayeweza kubadilisha mipango ya Mungu?? wamechukua laana 😢 kukazana kumwaga damu zisizo nahatiya 😢😢

  • @user-dx6sl2bo9h
    @user-dx6sl2bo9h 2 หลายเดือนก่อน

    Tunashukuru kwa hilo, na yatubidi kumuunga mkono raisi wetu sisi kama wa congomani, pamoja na Mungu tutashinda

  • @user-dx6sl2bo9h
    @user-dx6sl2bo9h 2 หลายเดือนก่อน

    Njoo na habari baba

  • @JosephBilombelejosbimtungwa
    @JosephBilombelejosbimtungwa 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo sauti sasa😂😂😂 wala sijasikia kilichoosemwa nimebaki kutafakari hiyo sauti

  • @emilebyabenepitchou7430
    @emilebyabenepitchou7430 2 หลายเดือนก่อน

    Rekebisha sauti yako ao uongeye vizuri, unaongeya kama mwenye iko naimba.