SIRI KUBWA YA KIFO CHA LUMUMBA SASA HAZARANI, TSHISEKEDI ALENGWA PIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 พ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 11

  • @assanibutoto9208
    @assanibutoto9208 3 หลายเดือนก่อน +2

    Habari nzuri kabisa, tungeli pendelea inchi yetu ya congo kuanza fundisha mambo ya siasa ya congo kuanziya shule la msingi hadi University. Ndipo tutakuwa na wakongomani walio kuwa zaidi na upendo wa inchi

  • @KabwahireJohn
    @KabwahireJohn 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Iyamba Lyetu kwa kutuelimisha sisi wakongomani. Tulikuwa wengi sana ambao tulikuwa hatujuwi kilicho sababisha kifo cha Lumumba. Mungu aendelee nailinda Iyamba Lyetu TV. Mubarikiwe sana wahariri wa Iyamba Lyetu Tv.

  • @Kitchinjahenry
    @Kitchinjahenry 3 หลายเดือนก่อน +1

    Habari Safi kabisa nzuri kabisa

  • @JanvierLubala
    @JanvierLubala 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu hataitika tumupoteze Felix atusaiidiye Sana

  • @modeRutale
    @modeRutale 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera saana iyamba lyetu kwahistoriya iyi ya kifo cha mwana shujaa wetu lumumba

  • @user-xg3pq4hi1h
    @user-xg3pq4hi1h 3 หลายเดือนก่อน +1

    Fichuwa Siri Mzee baba tupo hewani

  • @MaveSavo
    @MaveSavo 3 หลายเดือนก่อน

    Chana habari mbichi naku fata 5/5 mze

  • @mambokavugwa2578
    @mambokavugwa2578 3 หลายเดือนก่อน

    Tusaidiye n'a namba ya watsap tafazali

  • @user-yk1di7jn1x
    @user-yk1di7jn1x 3 หลายเดือนก่อน

    Tu maomba historia ifundichwe shuleni Kabila .

  • @Adidja-bi9ph
    @Adidja-bi9ph 3 หลายเดือนก่อน

    Tunakupata 🇳🇦🇿🇦🇨🇩🌍kwa💯kwa💯❤