30/06

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 60

  • @alexismwinyi8472
    @alexismwinyi8472 หลายเดือนก่อน +5

    Watu wa mashariki fungukeni macho ..
    Tshisekedi hayupo Upande wetu na bila kijisimamiya na kujipiganiya mtajikuta watumwa wa wanyarwanda

  • @AbrahamLukena
    @AbrahamLukena หลายเดือนก่อน +1

    Asante mtangazayi

  • @CésarLUMOOKABINGA
    @CésarLUMOOKABINGA หลายเดือนก่อน

    Najuwa Mushaki Mukubwa sana ya lamba letu TV

  • @hamza-sq5es
    @hamza-sq5es หลายเดือนก่อน +1

    Kiseketi chirimwaminachiko mungu awasaidie wakufe niwasaliti

  • @clarissekasali2973
    @clarissekasali2973 หลายเดือนก่อน +1

    sauti ni 5kwa5 najisikia kutoka ituri mahagi

  • @ShamukaForori
    @ShamukaForori หลายเดือนก่อน

    Bonjour mimi niflori kutoka kingali

  • @user-eu2ir3ji8g
    @user-eu2ir3ji8g หลายเดือนก่อน +1

    Ma Généraux n'a wa canalisation wafungwe jelani woooote n'a wa nyanganywe Simu zao

  • @kalengaalinotisungura1801
    @kalengaalinotisungura1801 หลายเดือนก่อน

    Nawapata 5/5 kutoka apa cape town Shukran kutupa habari mbichi ni Kalenga Alinoti Sungura maharufu Malenga

  • @mapendoumoja800
    @mapendoumoja800 หลายเดือนก่อน

    Umoja gani kuacha wazi Rwanda na Uganda🇺🇬??? maadui wanaongiya muda wete wanaotaka😢😢😢

  • @user-vc2gp9xv8m
    @user-vc2gp9xv8m หลายเดือนก่อน

    Watu wa mashariki ifike wakati tupate akili tujibebe wenyewe watu wa kaskazini hawana wema na sisi il faut tujitenge nao

  • @MalipoDjuma
    @MalipoDjuma หลายเดือนก่อน +1

    Jambo mutangazaji naitwa Malipo djuma iko Burundi kwakweli njeshi ya congo inatupatisha aya sana kweli uyo commanda anasitaili afungwe makala

  • @hudumablack9339
    @hudumablack9339 หลายเดือนก่อน

    Tchisekedi njo traitre wa kwanza.

  • @user-eu2ir3ji8g
    @user-eu2ir3ji8g หลายเดือนก่อน +1

    Baba Raisi Félix,pôle tena na utoshe commandement kwa ma généraux wa FARDC uipatie wa Majors n'a ma capitaines pamoja n'a Wazalendo.

  • @user-vs4zd2br9f
    @user-vs4zd2br9f หลายเดือนก่อน

    Kwa silaha zenye munasemaka kisekedi aliuza ziko nakazi gani nazinaendaka wapi ?

  • @pascalbonebamanya5500
    @pascalbonebamanya5500 หลายเดือนก่อน

    Celui qui n'avance jamais recule toujours. C'est nous!

  • @IsraelMathe
    @IsraelMathe 24 วันที่ผ่านมา

    Mimi ni ISRAËL MATHÉ NGAHANGODI KUTOKA BENI PA KIKURA NAWAFATA 5/5.

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 หลายเดือนก่อน

    Kuzohofika kwa wazalendo ni kuwa chini ya Fardc, walipo kuwa wakijiongoza pale mwanzo walifanya kazi vizuri sana.😢

  • @user-db1rp2xs2g
    @user-db1rp2xs2g หลายเดือนก่อน

    Kweli mtangazaji kama unaona iyi video, , na unaicomparer iyi maneno ya ule muzalendo aliye lalamiki wakuu wa inchi ugase nini? Ule muzalendo anasema kweli, ama wote wademissioner.

  • @CizaDangote
    @CizaDangote หลายเดือนก่อน

    congo inachosha haina miundo mbinu

  • @pascallubungo8726
    @pascallubungo8726 หลายเดือนก่อน

    Jambo,mupasha habari na karibu tena sikunyingi hatuku pate,kwanini jeshi kurudi nyuma?

  • @CelestinAkili
    @CelestinAkili หลายเดือนก่อน

    Sauti nipowa mzeee wabari mbichi

  • @mwajumasakina9599
    @mwajumasakina9599 หลายเดือนก่อน

    Inchi ikonaongozwa na batusi, aussi long term que ba kongolais hamuyafukuza ruberwa kanambe na wengine watusi wenye wako Kinshasa mutakuwa na wakati mgumu,mubafukuze ba jeune musimame mupiganie Inchi

  • @amanimanase8799
    @amanimanase8799 หลายเดือนก่อน

    Amani manase kutoka Utica ny 🇺🇸 tunakupata sana

  • @GodfreyMauna
    @GodfreyMauna หลายเดือนก่อน

    Watampiga adui wa wapi wasaliti njo wanasapotiwa na Viongozi

  • @pascalmurhula6074
    @pascalmurhula6074 หลายเดือนก่อน

    Nakufwata 5/5 toka burundi bwana mtangazaji

  • @kapasakitengewalumweno9448
    @kapasakitengewalumweno9448 หลายเดือนก่อน

    Quelle politique parle-t-on et quelle général es-tu Mr Chilimwami. Traître munene wewe!! Inatakikana ukae chini na upokonywe hizo pete sababu raiya hawaone mafaa. Huna huruma yahao watoto na wamama ambao wameachishwa makao yao? Hadi lini.

  • @UjumbeChoir-vt8sp
    @UjumbeChoir-vt8sp หลายเดือนก่อน

    Sauti poa, Butembo

  • @jeanpaulhamuli-h1b
    @jeanpaulhamuli-h1b หลายเดือนก่อน

    Nafuata kutoka Uganda 5/5

  • @balukumoses9285
    @balukumoses9285 หลายเดือนก่อน

    Sijawahi kuona mutu mwenye Busara akifungulia wajirani ili wapigane vita viao nyubani make nakuuwisha batoto yake..

  • @MaveSavo
    @MaveSavo หลายเดือนก่อน

    Nous sommes déçu de comportement de nos autorités et militaires.

  • @user-mq1jx5ll4m
    @user-mq1jx5ll4m หลายเดือนก่อน

    Wasikari wacongo niwavatilye pehi besha kabula raiya wanamindanganya Mimi mumba evans uku zambia

  • @AmedeoTambwe
    @AmedeoTambwe หลายเดือนก่อน

    Kwanini tchsekedi haiko sanctionner wale wtraitre?

  • @user-fb7tc7gg9x
    @user-fb7tc7gg9x หลายเดือนก่อน

    Pas question de saicer le feux chez nous parcequ'ils ne sont pas au Rwanda

  • @pascalbonebamanya5500
    @pascalbonebamanya5500 หลายเดือนก่อน

    Nakufuata toka goma

  • @wesleykanyingi3897
    @wesleykanyingi3897 หลายเดือนก่อน

    Acheni hadithi za kijinga. Huyo Fatshi went ni mjinga sana. Mbona hawezi kupa ga jeshi lake? Kesho hao warwanda watakuwa Kinshasa. Nyinyi ni midomo mirefu tu kila siku.

  • @BashigeValentin
    @BashigeValentin หลายเดือนก่อน

    Jeshi letu la Congo linsletå hayå

  • @KigabiMoise
    @KigabiMoise หลายเดือนก่อน

    Hiyo serekali yako ndio inayo tumika na m23 wao wenyewe ndio m23 waache kudanganya watu ,m23 ni wa alier wao ili kuomba misaada wakule