USHINDI WARUDI KWA TSHISEKEDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 พ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 23

  • @theodorkakonga3834
    @theodorkakonga3834 2 หลายเดือนก่อน

    Jambo ndungu mtangazaji nakufata bien Sana ni mwana mufalme katika kizazi chaine chenye utukufu teeeeeeeeeeeele papa Theodore kakonga mwana kivu uvira kavimvira congo inaishi mu unabii bravo fdc bravo kwakila mu congo naishi South Africa province ya free state Bloemfontein bravo waza waza tuko pamoja musichoke ilyamba yetu hata waseme tunajua adui wa congo

  • @theodorkakonga3834
    @theodorkakonga3834 2 หลายเดือนก่อน

    mwana mufalme anarudi kwakua thisekedi amesha shinda vita mtu wa tombolo fatchi beeee mwenyezi mungu iko congo

  • @user-ft6zv4dn7x
    @user-ft6zv4dn7x 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jambo bwana mtangazaji, karibu sana kutupa Mbichi za leo zenye kuvuja damu mbichi saana, ninapo tu soma taito, nime jaa furaha saaaana, bravo fa

  • @espoirbyamungu413
    @espoirbyamungu413 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tunafata vizuri saana kabisa ndugu nikiwa uvira Sud Kivu,

  • @JackKaserekambayahi
    @JackKaserekambayahi 2 หลายเดือนก่อน

    Bravo fardec bravo wazalendo

  • @alimasiandre6318
    @alimasiandre6318 2 หลายเดือนก่อน +1

    Vraiment ubarikiwe

  • @user-ft6zv4dn7x
    @user-ft6zv4dn7x 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ni mimi, bwana; BABESE AMISI, Kutoka drc, sud kivu, KIBE, asante.

  • @HamzahEphraim
    @HamzahEphraim 2 หลายเดือนก่อน

    Tuko pamoja ndugu yangu !na wafata toka Butembo

  • @fauznuhu9981
    @fauznuhu9981 2 หลายเดือนก่อน

    Kkkk mrogo anayaonge siya le una yo yasema

  • @emmanuelhatungimana9446
    @emmanuelhatungimana9446 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tupe mbichi wazeewetu

  • @MrishomabeleShabani
    @MrishomabeleShabani 2 หลายเดือนก่อน

    Weka wayu wazuri wakutangaza

  • @ghislainekahindo-pu8ev
    @ghislainekahindo-pu8ev 2 หลายเดือนก่อน

    Iyamba letu TV juma pili ina kuwa ipopo haieleweki

  • @InnocentMyanzi-ev1wk
    @InnocentMyanzi-ev1wk 2 หลายเดือนก่อน

    Yakwanza muyichi nikupokenza wasoda wafurhahi wavale

  • @kagayimuhima2236
    @kagayimuhima2236 2 หลายเดือนก่อน

    Kabira.arikuwa.amekwishazikaichi.nakuipana.kwawanyarwanda

  • @djumakasigwa9529
    @djumakasigwa9529 2 หลายเดือนก่อน

    Kuchambuwa ... Uko Juu Sana 💋,
    Next time your real Voice please

  • @JumongPatrick-xu5ur
    @JumongPatrick-xu5ur 2 หลายเดือนก่อน

    Tooka haujuwi kupan habar

  • @theodorkakonga3834
    @theodorkakonga3834 2 หลายเดือนก่อน

    narudi tena mwana mufalme katika kizazi chaine chenye utukufu teeeeeeeeeeeele papa Theo izo kenge za wangu hazitaweza lakini tunaomba kwa Rais wetu aongezee wanajeshi wetu mushaara

  • @VandameAdriano
    @VandameAdriano 2 หลายเดือนก่อน

    KONGO MNAKILASABABUYAKUMILIKIA NAMTAIFAMEGINE KWAKUAHAMNAATALUGAYATAIFA BALIIMNATUMIALUGA YAKIGENI. KUWADI YUGAYENU. MUWENAAIBU. NYINYI SIYOWAFARASA BAL. MKO. WAAFRIKA ATARWADA INAAKIYAKUWATAWALA KWAKUA AMJIELEWI. KABISA

  • @kamilikapeta2574
    @kamilikapeta2574 2 หลายเดือนก่อน

    Yani nyie wkonngo nivichwa mpanzi ilokundi lilo Fanya vilugu lilitajwa m23 niwashailika wao

  • @user-hr7ep8zt2r
    @user-hr7ep8zt2r 2 หลายเดือนก่อน

    Alifanya Nini? Wati niju wanaipora ? Ninyi ushabikitu

  • @justinkasongo5508
    @justinkasongo5508 2 หลายเดือนก่อน

    Uyu naye njo kuongea yake ao ni mapozi unajua kuchambua ila ongea yako tu njo shida pls