ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

BWEREMANA, SAKE KATIKA MIKONO YA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @christophebitangalo
    @christophebitangalo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Thank Iyamba Letu tv tu pe habari za Ka.nabayonga

  • @christophebitangalo
    @christophebitangalo 2 หลายเดือนก่อน +3

    Thank Iyamba lyetu tv Tuna kufàta vìzuri sa.na.tukiwa USA ndugu

  • @user-bx4xc8xe5u
    @user-bx4xc8xe5u 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nawapata vizuri kutoka tanzania kigoma kasulu, naitwa mwibeleka Aka papa LAX

  • @KapalataObedjermie
    @KapalataObedjermie 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tunawafata vizuri sana tuko Burundi camp musasa

  • @honoregoramacelestin7190
    @honoregoramacelestin7190 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakufata sana ndugu yangu ni mimi honore nikiwa Malawi

  • @AlexisShabanirusangiza
    @AlexisShabanirusangiza 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sauti inatoka vizuri tupe mbichi ! Nakufata kutoka Congo vile de Goma

  • @londonmaisara2286
    @londonmaisara2286 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi ni Maisara londin kutoka hapa bruxelles,umesikika vizuri sukuma iliyo haku yetu

  • @theodorkakonga3834
    @theodorkakonga3834 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jambo ndungu mtangazaji nakufata moja kwa moja sauti yako iko tokoos naitwa mwana mufalme katika kizazi chaine chenye utukufu teeeeeeeeeeeele papa Theodore kakonga naishi South Africa province ya free state Bloemfontein bravo waza waza bravo fdc tuko pamoja fanyeni nguvu mutoshe Hao maaramia mwenyezi mungu iko pamoja nanyi

  • @amanimanase8799
    @amanimanase8799 2 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana karibu tena

  • @felixmkl3851
    @felixmkl3851 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ni ovyo vita kufanyika daima nchini Congo tu ; inabidi kuwasha moto kwao adui. Hivyo, adui wataelewa umuhimu wa Amani kwa wote...😎

    • @tiktok470
      @tiktok470 2 หลายเดือนก่อน

      Vitæ inapashwa kupelekwa nchini Rwanda ndipo watajuwa ubaya wa vita v

  • @amanimanase8799
    @amanimanase8799 2 หลายเดือนก่อน +2

    NAWAPATA KUTOKA UTICA NY USA

  • @RamaJunior-ld6dn
    @RamaJunior-ld6dn 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asantisana Mimi Niko kyikyi Moise kutoka kamukumbi kutikauganda

  • @FrancoisSandel
    @FrancoisSandel 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ni François Sandel. Ninawafata apa Mwenga

  • @ElieMbuyi-gt5ur
    @ElieMbuyi-gt5ur 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nasikia nikiwa Kampala MUNGU akubariki mtangzaji

  • @KatulaPuissance
    @KatulaPuissance 2 หลายเดือนก่อน +1

    Niko goma nitano ju tano

  • @MuthamoMoise-of1cu
    @MuthamoMoise-of1cu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Miye naona yakwamba sisisote tukuwe wazalendo ni kakule muthamo kutoka beni territoire précisément kasindi lubiriha

  • @ShamukaForori
    @ShamukaForori 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jambo mutanga zaji

  • @user-yq7cf4mx6v
    @user-yq7cf4mx6v 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi Wana inshi wa Congo tunamuchangao mukubwa Sana,leo tunasikia waasi wanakama sehemu Fulani kesho yake FRDC imekamata tena.sasa himuchezo NI muchezo GANI?

    • @amanimanase8799
      @amanimanase8799 2 หลายเดือนก่อน

      Hii tv imekufa mbona haisikiki?

  • @user-bv8rr6tr8d
    @user-bv8rr6tr8d หลายเดือนก่อน

    Huku matadi tunafata vizuzi

  • @harunasultan-xv3nm
    @harunasultan-xv3nm 2 หลายเดือนก่อน +1

    KAMA NI HABALI ZUNGUMUZIA ULIO YA ANDIKIA USICHANGANYE MAMBO