Wakongomani tutajikomboa maana Mungu yu pamoja nasi,Fardc& Wazalendo Mungu aendelee kuwatia nguvu, maana hata sasa hatujasikia hiyo sadec imepigana wapi... Ni Kimuha toka Butembo
Narudia tena iyi inchi yetu congo RDC zaidi mashariki kwa Nini Kila wanajeshi wakija Ili kwisaidia Congo wanaonekana wasaliti ndani yaho nikizani itakuwa funzo kwa président wa Congo pâte funzo
Wanyarwanda wachapwa sana na Waza waza ndo wanaonza toa jeshi lao Mozambique , Enyi wanajeshi wa Kagame kutoka Mozambique Twawakaribisha sana kwenye mashamba la vita kwetu Congo , mumepona Mozambique ila Congo rutabakata mapua . Nikiwa USA Portland Oregon
Mungu abariki kongo yetu
Jambo wakatinjema tunashukuru mungu kutupasha habari hizi ni kalembu kutoka kabare bukavu merci beaucoup
Asante sana
Jambo ndugu mtangazaji nakufwatilia nikiwa aflika kusini katika Jimbo Mpumalanga,
🙏🙏🙏
Jacques emedi patachako Niko kalemie angalieni bizuri titre tenu kwanza
Asante sana
Waende salama tuta weza siepeke ni muthamo kutoka beni territoire précisément kasindi lubiriha
❤❤❤
Tunakusikia poa hapa marekani ri Jina theodor nakupata 5×5 asante
🙏🙏🙏
nakufata 5/5 nikiwa kalemie,sauti yako inasikilika sawa kbs.ni sylivin soli
🙏🙏🙏🙏
Wakongomani tutajikomboa maana Mungu yu pamoja nasi,Fardc& Wazalendo Mungu aendelee kuwatia nguvu, maana hata sasa hatujasikia hiyo sadec imepigana wapi... Ni Kimuha toka Butembo
🙏🙏
Shusha mbichi baba tunakupata vizuri tukiwa Charlotte North Carolina USA.
🙏🙏🙏🎉🎉
Nakufata nikiwa tarafani fizi seemu ya sebele
🎉🎉🎉🙏🙏
Bonsoir nidavid nikiwa sau soudan sauti ukobien sansa
Asante sana
Andikeni kiswahili vizuri hatuelewi mnavo andika kutosha ndo nini?
Kwanza mtujuze '' iyamba lyetu'' inamaanisha Nini kwa kiswahili ao kifaransa
Narudia tena iyi inchi yetu congo RDC zaidi mashariki kwa Nini Kila wanajeshi wakija Ili kwisaidia Congo wanaonekana wasaliti ndani yaho nikizani itakuwa funzo kwa président wa Congo pâte funzo
🙏🙏🙏
Mimi naitua Abdallah toka Bunia nakufata 5/5.
🙏🙏🙏
nakufata tano juya nano yamba lyetu tv ni bahati ajusteur souder kutoka kavumu, leta bichi baba.
🎉🎉🎉🙏🙏🙏
ILE SADEC ITOWA MAJESHI YAKE NA DRC. KASEREKA MULWAHALI ANICET DE NYANZALE RUTSHURU BWITO À KAMPALA UGANDA.
🙏🙏🙏
Shuka na mistari Baba ili utwambiye yaliyojiri katika eneo zetu kutoka Portland Oregon USA .
❤❤❤
Ninawafata tannokwatano niko Burundi bujumburapp